New Era Digital(@NewEraDigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya wasanii Zuchu pamoja na Diamond Platnumz kutokuwa na maelewano mazuri kwenye mahusiano yao hivi karibuni, wasanii hao wanaokeana tena katika nyimbo hii mpya ya Raha na Usingizi Huku wakionesha penzi lao ambalo lilikuwa katika hali mbaya.

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Wasafi Media SIMBA..!🦁 pamoja na Msanii juma jux wamefika katika Hospitali ya Muhimbili mara tu baada ya Taarifa za Msiba wa aliyekua Muongozaji Wa Video za Muziki Director Khalfani kwa ajili ya kushuhulikia taratibu za mazishi ya Muongozaji huyo mahiri wa…

account_circle
Adellah Tillya(@AdellaTillya) 's Twitter Profile Photo

Unaamka Unakutana na LoveBirds wanatupa RAHA😍😍😍 this Chemistry is Realy hadi Shetwani anaiogopaaa!🙌 Nyieee Love is a Beautiful Thing Unaweza Mbeep X 🤣🤣SIMBA..!🦁 Ft Zuchu “RAHA” ila BIG Kwa Kudekaaa🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️

account_circle
MNYASA MVUVI(@MvuviNyasa) 's Twitter Profile Photo

Kwenye wimbo huu mpya wa komasava wa SIMBA..!🦁 unadhan msanii gan kaua zaidi kati ya KHALIL HARRISON,CHLEY na mwenye SIMBA?.

mimi kwangu huyu mbwaa CHLEY ni hatari..

Cheki video kwenye comment toa maoni yako 👇.

Kwenye wimbo huu mpya wa komasava wa  @diamondplatnumz unadhan msanii gan kaua zaidi   kati ya KHALIL HARRISON,CHLEY na mwenye SIMBA?.

mimi kwangu  huyu mbwaa CHLEY  ni hatari..

Cheki video kwenye comment toa maoni yako 👇.
account_circle
Moker👁(@mokertz__) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Noel Mbunifu Wa Mavazi Ambae Amepewa Dhamana Ya Kuhakikisha Diamond Platnumz Anapendeza Kwenye Shows Na Videos.

Anaitwa Noel Mbunifu Wa Mavazi Ambae Amepewa Dhamana Ya Kuhakikisha Diamond Platnumz Anapendeza Kwenye Shows Na Videos.
account_circle