EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa miguu wa KMC Complex uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam, umefikia asilimia 95, huku ujenzi huo ukitarajia kukamilika na kukabidhiwa kwa manispaa ya Kinondoni ndani ya Mwezi Mei, 2024.

โ€ฆ

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Mahari yangu sio Milioni 500 tena, Jinsi navyozidi kukua na thamani yangu inaongezeka zaidi' - Muigizaji na msanii wa muziki Aggy Baby.

#FridayNightLive #FNL
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Shabiki wa klabu ya Simba, @nabii_meja anasema Azam sio kipimo tosha kwa Mgunda, ili kumpima Mgunda basi akabidhiwe Yanga.

Je, ni kweli Yanga ndiyo kipimo cha Simba๐Ÿคท?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Leo tujadiliane hapa pamoja, hivi kawaida ni vitu gani unapopatwa na hasira hupaswi kuvifanya na unapaswa kuepukana navyo?

Dondosha comment yako hapa.

Leo tujadiliane hapa pamoja, hivi kawaida ni vitu gani unapopatwa na hasira hupaswi kuvifanya na unapaswa kuepukana navyo? 

Dondosha comment yako hapa. #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACTWazalendo Ndugu Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu na wazee wa Kahama kuwa Mtemi/Chifu wa kabila la Wasukuma na Wanyamwezi.

#PICHA Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Ndugu Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu na wazee wa Kahama kuwa Mtemi/Chifu wa kabila la Wasukuma na Wanyamwezi. #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya abiria ambao wametoka mikoa mbalimbali nchini wakielekea mikoa ya kusini mwa Tanzania ikiwemo Lindi na Mtwara ambao wamekwama katika stendi ya Mbagala jijini Dar es salaam kutokana na kuharibika kwa daraja linalounganisha na maeneo ya Lindi wameeleza changamotoโ€ฆ

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, ameapa kula sahani moja na viongozi wa sekta ya afya wanaoshiriki kuzuia watumishi na watendaji kutopanda madaraja kwa sababu zao binafsi.

Waziri Mchengerwa ametishia kuwaondoa kwenye nafasi zao viongozi wote wanaohusikaโ€ฆ

#HABARI Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, ameapa kula sahani moja na viongozi wa sekta ya afya wanaoshiriki kuzuia watumishi na watendaji kutopanda madaraja kwa sababu zao binafsi.  

Waziri Mchengerwa ametishia kuwaondoa kwenye nafasi zao viongozi wote wanaohusikaโ€ฆ
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Viongozi, Wadau na Wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya miaka 62 ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania Tanzania Red Cross Society inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo washiriki kutoka nchi za Uganda, Hispania, Botswana,โ€ฆ

#PICHA Baadhi ya Viongozi, Wadau na Wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya miaka 62 ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania @trcs1962 inayofanyika leo Mei 11, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo washiriki kutoka nchi za Uganda, Hispania, Botswana,โ€ฆ
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Mwaka jana nilizungumza kuhusiana na taasisi za Serikali kutumia maji na kutolipa, Waziri wa Fedha na akasema ametoa maelekezo watalipa, leo hii Mhe. Spika Taasisi za Serikali zinadaiwa bilioni 26, wananchi wa kawadia wakitumia maji wanakatiwa, kwanini msiwakatie? Lipeni madeni'โ€ฆ

'Ajali ambazo zinaweza kuepukika bado zinaangamiza Watanzania na sehemu kubwa ya ajali hizo ni zile zinazosababishwa na magari mabovu, kutozingatia sheria za usalama barabarani na madereva kukosa weledi, Jeshi la Polisi bado lina wajibu wa kusimamia sheria za usalama barabarani,โ€ฆ

'Na-enjoy kuigiza na JB anaweza kuigiza kama Daddy na Sugar Daddy. Ni mlezi, baba, Role Model pia ni mtu ambaye anaweza kukushauri zaidi' - Sengo Matilda