EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: @officialsultanatz anasema yeye ni mkali kuliko wasanii wote wa kike hapa Bongo kwa sababu anaimba nyimbo za aina zote, hivyo wote anawanyoosha!

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

; @conniebeily katoa dongo kwa wale watu wanaoishi nyumba za kupanga unakuta asubuhi tu watu wamekaa nje unakosa uhuru wa kufanya mambo yako.

Vitu gani huwa vinakukera kwenye nyumba za kupanga?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

QUIZ: Taja mchezaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2022 – 2023
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

QUIZ: Taja mchezaji bora wa Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2022 – 2023
.
.
 .
 .
 .
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.
 #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Msaniii wa kizazi kipya Zoshie anasema kuna siku walijiandaa kwenda kuimba Kwenye stage kwa muda wa wiki mbili hadi kujinyima kula lakini ilipofika siku ya event, management ya darasa iliwakataa na kuambiwa hawatoweza kuimnba.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Msanii wa muziki Dozen amesema alishawai ibiwa wimbo wake na msanii na kuahidiwa kupewa hela lakini hakulipwa na wimbo ukatoka na kwenye Interviews akiulizwa anasema nyimbo kaandika yeye mwenyewe.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Discussion ya @modoo_255 na @conniebeily kuhusu Producers wakali kwenye muziki wa Bongofleva, kwako nani Mtayarishaji bora wa muziki hapa nchini?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Pambano la Tyson fury dhidi ya Usyk linafanyika tarehe ngapi?
.
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Pambano la Tyson fury dhidi ya Usyk linafanyika tarehe ngapi?
.
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.#QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Hivi umewahi kuibiwa wazo lako la kibiashara na mtu mwingine na ulichukua hatua gani?

Ungana na team ya ya kuanzia saa 11:00 jioni.

CC & Connie

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: @modoo_255 kashaibiwa wazo lake la vipindi na kuahidiwa ataitwa wewe ni wazo gani lako uishawahi kuibiwa na watu katika biashara au kitu kingine chochote?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

QUIZ: Kombe la Dunia kwaa 1994 lilifanyika kwenye taifa gani?
.
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni#Quiz

QUIZ: Kombe la Dunia kwaa 1994 lilifanyika kwenye taifa gani?
.
.
.
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni#Quiz #HainaKuchoka #KunaKitu #NguvuZaidi #KunaKitu
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Triple C alijiunga na kikosi cha Simba SC mwaka gani?
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

Triple C alijiunga na kikosi cha Simba SC mwaka gani?
.
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.
#QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #hainakuchoka
account_circle