Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Breaking news Alikiba amefurahishwa na Kitendo cha Crown kupiga Song za Diamond platnumz na wasafi, Video ipo hapo chini ya King kiba akiongea

account_circle
Blessed Tillah (Mbarikiwa)(@TillahBlessed) 's Twitter Profile Photo

Jaymelody anaenda kutuonyesha ukubwa wake kupitia Album yake.

Kolabo mbili tu na hakuna cha Diamond, Alikiba, Marioo wala Harmonize 🙌🏾

Respekkkkk 🫡

account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽Binafsi nikiulizwa kwa sasa mtaalam wa KOMPA kibongo bongo siwezi acha kulitaja jina la 'Mocco Genius' 🙌🏽

Mwana ambae amekuwa Mwanamuziki wa kwanza kutoa ngoma na 'Alikiba' toka awe Rais wa 'CrownMedia' 😅

Mwana ambae amekuwa Mwanamuziki wa kwanza kutoa ngoma akiwa na