Njia nzuri ya kutomchukia mtu ni kumpenda na kuendelea kumpenda . Diamond ukiangalia namna anapambana kufika international level za mziki Kama wizkid na davido Angalia komasava anavyoipambania na kuipa massive promotion THREAD 🧵 🧵
Hawa Al Ahly ni kwamba wameshindikana ? Wamebeba Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika ×12 , hawa Al Ahly usipowazuia knockout stages basi ukuwakuta fainali
Kuna dalili za hivi karibuni kuwa ukimtoa Simba umetinga Fainali klabu bingwa Afrika😀