Leo #MariaSpaces haitakuwa hewani kutokana na sikukuu
Tunawatakia nyote Eid Mubarak na tuonane ktk bunge letu Jumatatu 15 April ππ½
#Tanzania Alertπ¨ BREAKING on #MariaSpaces -- NO PARACETAMOL AVAILABLE anywhere in Ngorongoro, the CCM govt has blocked that. Genocide? Hell yes! #BoycottTourismTanzania
Human Rights Watch United Nations Agnes Callamard Vice President Kamala Harris Pope Francis Amnesty International Reuters World Travel Market (WTM) London European Parliament Financial Times
Leo #MariaSpaces haitakuwa hewani kutokana na sikukuu
Tunawatakia nyote Eid Mubarak na tuonane ktk bunge letu Jumatatu 15 April ππ½
Mafuriko Rufiji yamesabaishwa na maji kutoka bwawa la Nyerere, Serikal inasema kulikuwa na mafuriko toka zamani,Je bwawa limejengwa bila kuzingatia usalama wa wananchi sababu zaman kulikuwa na mafuriko?Serikali ina wajibika vip kulinda usalama wa wananchi? #MariaSpaces #KatibaMpya
Wananchi tutajadili hali ya Uwajibikaji na jinsi #KatibaMpya itawezesha wananchi kuwajibisha viongozi wake. Serikali ya CCM inasema inatumikia wananchi, Kwa nini inakwamisha Katiba Bora inayotoa nguvu kwa wananchi kuwajibisha ? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wananchi wanadai #KatibaMpya ili kupata viongozi wanaofanya kazi kwa uwazi na weledi na wanaozingatia maslahi ya wananchi. Wananchi wanataka kuwajibisha wabunge wanapokwenda nje ya malengo yao, Hili ni suala jema na msingi wa kuwa na #KatibaMpya . #MariaSpaces #WenyeNchiWananchi
Mafuriko Rufiji yamesabaishwa na maji kutoka bwawa la Nyerere, Serikali inasema kulikuwa na mafuriko toka zamani, Je bwawa limejengwa bila kuzingatia usalama wa wananchi ? Serikali ina wajibika vipi kulinda usalama wa wananchi? #MariaSpaces #KatibaMpya
Kunapokuwa na tuhuma kubwa serikalini, bunge linawajibu kuunda kamati za uchungulizi na kutoa maazimio, Bunge limekaa kimya Kuhusu Ngorongoro na Mbarali watu wakiporwa ardhi, Tupate Katiba Bora kuimarisha Bunge. #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mafuriko Rufiji yamesabaishwa na maji kutoka bwawa la Nyerere Serikali inasema kulikuwa na mafuriko toka zamani Je bwawa limejengwa bila kuzingatia usalama wa wananchi Serikali ina wajibika vipi kulinda usalama wa wananchi? #MariaSpaces #KatibaMpya
Wananchi wanadai #KatibaMpya ili kupata viongozi wanaofanya kazi kwa uwazi na weledi na wanaozingatia maslahi ya wananchi. Wananchi wanataka kuwajibisha wabunge wanapokwenda nje ya malengo yao, Hili ni suala jema na msingi wa kuwa na #KatibaMpya . #MariaSpaces #WenyeNchiWananchi
Nchi ni ya wananchi, lakini haki za wananchi zinavunjwa kila siku na vyombo kama mahakama na polisi hakuna haki inayopatikana. Kwa nini CCM inakataa mchakato wa #KatibaMpya ambao utasaidia kupunguza ukiukwaji wa haki hizi?. #MariaSpaces #WenyeNchiWananchi
Serikali imefanya miradi mikubwa yenye maswali mengi na utata. Suala la bwawa la Nyerere kwa sasa linatishia maafuriko Rufiji pamoja na maisha ya watanzania. Lakini haya yalisemwa na baadhi ya wataalamu wakapuzwa, Je katiba ya sasa inawajibisha ? #KatibaMpya #MariaSpaces
Suala la bwawa la Nyerere kwa sasa linatishia maafuriko huko Rufiji ikiwa ni pamoja na maisha ya watanzania. Lakini haya yalisemwa na baadhi ya wataalamu wakapuzwa, Je katiba ya sasa inawajibisha? #KatibaMpya ? #MariaSpaces #WenyeNchiWananchi
Kunapokuwa na tuhuma kubwa serikalini, bunge linawajibu kuunda kamati za uchungulizi na kutoa maazimio, Bunge limekaa kimya Kuhusu Ngorongoro na Mbarali watu wakiporwa ardhi, Tupate Katiba Bora kuimarisha Bunge. #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Wananchi tutajadili hali ya Uwajibikaji na jinsi #KatibaMpya itawezesha wananchi kuwajibisha viongozi wake. Serikali ya CCM inasema inatumikia wananchi, Kwa nini inakwamisha Katiba Bora inayotoa nguvu kwa wananchi kuwajibisha ? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mradi wa Bwala la Nyerere ulipingwa na wananchi kuwa unatakiwa kufanyiwa upembuzi yakinifu kabla ya kujengwa, serikali ilikaidi sasa linasababisha mafuriko maeneo ya karibu. Je tunaiwajibishaje serikali isiyosikilza wananchi bila Katiba Bora? #MariaSpaces #KatibaMpya
Serikali imefanya miradi mikubwa yenye maswali mengi na utata. Suala la bwawa la Nyerere kwa sasa linatishia maafurko Rufiji ikiwa ni pamoja na maisha ya watanzania Lakini haya yalisemwa na baadhi ya wataalamu wakapuzwanJe katiba ya sasa inawajibisha ? #KatibaMpya #MariaSpaces