Katiba yetu kuna baadhi ya ibara inakupa haki halafu inaiondoa ili katiba iweze kujilinda ni lazima tupate #KatibaMpya . — Joseph Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4dS0YbW
Huu ndio msingi wetu wa kudai #KatibaMpya , hebu fikiria nchi inapata Rais na makamu ambao wote hawakujiandaa wala kujipanga namna ya kuongoza nchi. Yani wote wameletwa kama parcel tu kwa nguvu ya dola. Huu ujinga lazima tuukomeshe ikibidi kutumia nguvu ya Umma kuizingira ikulu
...Kwenye rasmu ya latiba Mpya inaeleza wazi juu ya mihimili mitatu ya serikali yaan Serikali,Bunge na Mahakama Kwa Kila mhimili ufanye kazi zake kwa weledi kama tungekubali kuipitisha #KatibaMpya haya makando kando yasingekuwepo.
#KatibaMpya
#WenyeNchiWananchi
CCM kwa sasa haizalishi viongozi ambao wanaweza kuja kushindana kwa hoja bali wanaokuja kuwa majambazi na kupora mali za umma. Bila ya #KatibaMpya hatuwezi kuwa na viongozi wanaolinda maslahi ya wananchi. — Begga Richard #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3yr5TQL
Hii ni Big Results Now aliyofuta Magufuli imerudi kwa namna tofauti
ni kama tuko kwenye lab or experimental Government , weka toa weka toa
tungepata #KatibaMpya tujenge sera bora za kiuchumi
CCM si chama bali genge la majambazi linalojiendesha kwa kivuli cha chama. Tushirikiane katika kudai #KatibaMpya ili kupata demokrasia ya kweli nchini. —
Begga Richard
#WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3yr5TQL
Mamlaka za udhibiti rushwa TAKUKURU inatakiwa kuwa huru kimuundo na kifedha ili kuweza kuchukua hatua kwa watu wanaofanya ufisadi wa mali za umma au uzembe. Hii haiwezekani bila ya #KatibaMpya . Lakini je wananchi tunaiamini hii taasisi kutenda haki? #MariaSpaces #KatibaMpya
Rais kudharau kuita katiba ni kajitabu tuu inathibitisha kukanyaga kwakwe katiba na ingekuwa nchi nyingine angejiuzuru. Tunahitaji viongozi wanaoheshimu katiba. —
Anna Peter
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3WOSPPm
Nitakuwepo 26 May 2024 MAJIRA ya 12:00 Mchana ambapo tutaanzia pale
kwa Azizi Ali KUMPOKEA MH Tundu Antiphas Lissu Kisha tutaandamana kuelekea viwanja vya Mwembe Yanga
#KaribuTemekeKiumeni26
#KatibaMpya
#AMSHA #AMSHA #AMSHA 🔥🔥🔥
Bado tunaendelea kuwaimiza vijana na watu wote siku ya kesho kujitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya #MWEMBEYANGA TEMEKE na kuhutubiwa na Makam Mwenyekiti Mh Tundu Antiphas Lissu
#KaribuTemekeKiumeni26
#KatibaMpya
Watanganyika hatutakaa kimya kushuhudia udalali wa rasilimali za Tanganyika unaofanywa na huyu Mama mzanzibari kwa kivuli cha kile kinachoitwa MUUNGANO, Nitasimama kuhesabiwa kwa maslai ya Tanganyika yangu.
#KatibaMpya
#KatibaMpya NiSasa.
Shughuli nyingi za utekaji na upotezaji watu zinafanywa na serikali. Kazi ya kufuatilia mtu mmoja mmoja anayekosoa serikali inafanywa na serikali yenyewe. Serikali inahitaji kudhibitiwa na #KatibaMpya . — Mdude Chadema #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3yr5TQL
Misingi ya kisheria ambayo ni katiba husaidia kujenga ngome ya haki ambayo si rahisi kuanguka. — Joseph Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/4dS0YbW
Wananchi wa TEMEKE wanasema wanahitaji #KatibaMpya kabla ya 2025. Wananchi wa TEMEKE wanasema uwezekano wa kuipata KATIBA MPYA upo hata sasahivi ila unakwamishwa na kiburi cha WATAWALA, tusimame kuipigania KATIBA MPYA.
#Solidarity 👊✌️
Mwenyekiti wa Mkoa #Temeke
Sina Saidi Manzi, atakiwasha Mwembe
yanga
#KaribuniTemekeKiumeni
#Katibampya