Mabingwa x 29 UNICEF Tanzania Nilijua ukurasa wa wizara ya afya kumbe wa timu bora yenye afya afrika,,
#ishiKijanja
#KingaNiBoraKulikoTiba
@Jahazini Tulificha takwimu za maambukizi tukaona wakenya Kama hamnazo Sasa vifo vinatuumbua
#TruthWillSetUsFree
#TahadhariKablaYaHatari
#KingaNiBoraKulikoTiba
Tunaokaa mabondeni hii tahadhari tuitumie vyema kwa kutoka maeneo hayo mapema ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza baada ya Mvua hizi ikiwemo vifo na kupoteza mali. #KinganiBoraKulikoTiba
As #Cancerous #disease is burden and kills majority of people. It can be treated at an early stage but cannot be in a lete stages. Now with our slogan of #kingaNiBoraKulikoTiba ( #preventionisbetterthantreatment ). oncointelligence devoted to work in awareness first for early detect.
#Protocal izingatiwe hapa plz ili kujikinga pamoja na tuwapendao.
#kinganiborakulikotiba
I hate #Covid_19 Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Radio Citizen Mzazi Willy M. Tuva Jared Nyambega Ekwinini #MsetoFriday Muziki ni Dawa,tuoshe mikono #KingaNiBoraKulikoTiba
Mifupa hupoteza ubora wake kadri umri unavyozidi kwenda, unaweza kuifanya mifupa yako iendelee kuwa imara kwa kula vyakula vyenye madini ya Calcium kwa wingi. Pia Mazoezi husaidia kuimarisha mifupa #elimikaleo Dr. Norman Jonas #ElimikaWikiendi Jamii Health
Leo ni siku ya Pili ya Kampeni Maalum ya Utoaji wa Chanjo ya #SURUA , #Polio na Matone ya Vitamin 'A' kwa watoto walio chini ya Umri wa Miaka mitano ndani ya Wilaya Zote za Zanzibar. #kinganiborakulikotiba #surua #polio #afyazanzibar #afyayamamanamtoto #hpuzanzibar
“Wananchi wanasema elimu wameipata na watafanyia kazi maelekezo ya wataalam wa afya.
UNICEF Tanzania
#ishiKijanja
#KingaNiBoraKulikoTiba
#KingaNiBoraKulikoTiba
Spent a better part of the day handing over a donation of 6 cold rooms from vodacomtanzaniafoundation to Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 in support of national immunization initiatives. Asante dada yangu Ummy Mwalimu, MP for gracing the event. #PamojaTunaweza #ConnectingForGood
Nimeenda ofisi moja hapa mwenge ya wachina,kabla ya kuingia ndani unapimwa kwanza na kupewa sanitizer ndo unaingia.
#kinganiborakulikotiba
Kwa hisani kubwa ya kwetu #Kagera na hii ni #LocalContent 🇹🇿 Tujivunie na kuthamini vya kwetu 💯 #KujifukizaTime #InhaleExhale #Tujifukize #KingaNiBoraKulikoTiba
Zoezi la ugawaji chanjo ya Polio litaanza tarehe 1 hadi 4 Septemba 2022.
#KingaNiboraKulikoTiba
#TuwakingeWatotoWetu
#Polio
#WizarayaAfya
#UmmyMwalimu
Malkia Nawal Hon. Askofu Josephat Gwajima JABIR SALEH (Zee la kujibrand) Year, Fanya unacho kiamini kwa fainda yako.
Kauli mbiu #KinganiBoraKulikoTiba
Maria Sarungi Tsehai Chama Cha Mapinduzi Waumini wasisitzwe kuhusu umuhimu wa kuvaa #Barakoa 😷😷 hasa kipindi hiki kwa #KingaNiBoraKulikoTiba 💉💊 ndg zangu