#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profileg
#ElimikaWikiendi

@ElimikaWikiendi

Transforming lives through education! #ElimikaWikiendi empowers Tanzanian youth with vital skills and mental well-being. Join us on the journey of knowledge.

ID:701453045880717312

linkhttp://www.elimikawikiendi.org calendar_today21-02-2016 17:06:53

135,8K Tweets

74,8K Followers

493 Following

Follow People
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Jukwaa la 11.05.2024 tulipata wasaa wa kujifunza juu

'Biashara ya kuuza na kununua mazao (nafaka)'

Zijue fursa na changamoto zake alizobainisha Joyce R Mbura UZI 👇x.com/Joy_Mbura/stat…

Jukwaa la #ElimikaWikiendi 11.05.2024 tulipata wasaa wa kujifunza juu 'Biashara ya kuuza na kununua mazao (nafaka)' Zijue fursa na changamoto zake alizobainisha @Joy_Mbura UZI 👇x.com/Joy_Mbura/stat…
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: “Watu wenye njaa ya mafanikio hawatazami ukubwa wa changamoto, wanatazama ukubwa wa ndoto.” - Ruge Mutahaba

NUKUU YA LEO: “Watu wenye njaa ya mafanikio hawatazami ukubwa wa changamoto, wanatazama ukubwa wa ndoto.” - Ruge Mutahaba
account_circle
Vanessa A. Mkagilage(@VannesserMalick) 's Twitter Profile Photo

Katika kuendelea kutoa Elimu Kwa jamii kuhusu nimepata wasaa mzuri katika kipindi Cha Jilawi kupitia TBC Radio Jamii Dodoma!

Jamii inahitaji Elimu na msaada zaidi kipindi hiki ambacho changamoto inazidi kukua kadri siku zinavyokwenda!


Katika kuendelea kutoa Elimu Kwa jamii kuhusu #AfyaYaAkili nimepata wasaa mzuri katika kipindi Cha Jilawi kupitia TBC Radio Jamii Dodoma! Jamii inahitaji Elimu na msaada zaidi kipindi hiki ambacho changamoto inazidi kukua kadri siku zinavyokwenda! #AfyaYaAkili #mentalhealth
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: “Pesa inakupa uhuru wa kuchagua. Watu hawatafuti pesa ili wawe matajiri, wanatafuta pesa ili wawe na uwezo wa kuchagua.” - Trevor Noah

NUKUU YA LEO: “Pesa inakupa uhuru wa kuchagua. Watu hawatafuti pesa ili wawe matajiri, wanatafuta pesa ili wawe na uwezo wa kuchagua.” - Trevor Noah
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TRILION 1.3 KUTEKELEZA VIPAUMBELE 10 VYA WIZARA YA AFYA

Na WAF, Dodoma

Wizara ya Afya imepanga kutekeleza vipaumbele 10 kwa kutumia afua 86 zinazokadiriwa kutumia kiasi cha shilingi 1,311,837,466,000 kwa mwaka ujao wa fedha 2024/25 itakayohusisha mapato, matumizi ya kawaida na

TRILION 1.3 KUTEKELEZA VIPAUMBELE 10 VYA WIZARA YA AFYA Na WAF, Dodoma Wizara ya Afya imepanga kutekeleza vipaumbele 10 kwa kutumia afua 86 zinazokadiriwa kutumia kiasi cha shilingi 1,311,837,466,000 kwa mwaka ujao wa fedha 2024/25 itakayohusisha mapato, matumizi ya kawaida na
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: “Muda una thamani zaidi kuliko pesa, Unaweza kupata pesa zaidi, lakini huwezi kupata muda zaidi.” - Jim Rohn

NUKUU YA LEO: “Muda una thamani zaidi kuliko pesa, Unaweza kupata pesa zaidi, lakini huwezi kupata muda zaidi.” - Jim Rohn
account_circle
Julius Jaji(@julius_jaji) 's Twitter Profile Photo

NIWAKUMBUSHE SASA.
Mafadhaiko(Stress) yanaweza kuathiri mwili na akili yako. Jifunze kuzitambua dalili zake mapema na chukua hatua kama kujifunza njia za kupumzika, kufanya mazoezi, au kutafuta ushauri wa kitaalam. Kumbuka, afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili.

NIWAKUMBUSHE SASA. #AfyaYaAkili Mafadhaiko(Stress) yanaweza kuathiri mwili na akili yako. Jifunze kuzitambua dalili zake mapema na chukua hatua kama kujifunza njia za kupumzika, kufanya mazoezi, au kutafuta ushauri wa kitaalam. Kumbuka, afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili.
account_circle
Joseph Macharia Kimemia(@J_YouthAdvocate) 's Twitter Profile Photo

Thrilled to have presented my abstract on mental health, outlining effective approaches to tackle and overcome mental health challenges. Here's to spreading hope and progress! 🌟 LVCT Health Grassroot Soccer #BongaNaOne2One Ministry of Health

account_circle
Joseph Macharia Kimemia(@J_YouthAdvocate) 's Twitter Profile Photo

Delighted to have showcased my research on mental health, shedding light on innovative methods for addressing and managing mental wellness. Here's to sparking conversations and fostering positive change! 🌱 Grassroot Soccer LVCT Health AKU Brain & Mind Institute

Delighted to have showcased my research on mental health, shedding light on innovative methods for addressing and managing mental wellness. Here's to sparking conversations and fostering positive change! 🌱 #MentalHealthMatters #AfyaYaAkili @GrassrootSoccer @LVCTKe @AKU_BMI
account_circle
Julius Jaji(@julius_jaji) 's Twitter Profile Photo

NIWAKUMBUSHE SASA
'Kila mtu anaweza kuathiriwa na matatizo ya afya ya akili. Ni muhimu kuelewa kwamba hakuna aibu katika kutafuta msaada'

NIWAKUMBUSHE SASA #AfyaYaAkili 'Kila mtu anaweza kuathiriwa na matatizo ya afya ya akili. Ni muhimu kuelewa kwamba hakuna aibu katika kutafuta msaada' #AfyaYaAkili #UsiogopeKuuliza
account_circle
Hadale Saru 🇰🇪(@wario_hadale) 's Twitter Profile Photo

Exciting to see the conversation around gaining momentum! Comprehensive mental health education in schools could be a game-changer, equipping the next generation with invaluable skills for life.

Exciting to see the conversation around #Adolescentmentalhealth gaining momentum! Comprehensive mental health education in schools could be a game-changer, equipping the next generation with invaluable skills for life. #MindfulYouthMovement #youthsummit #afyayaakili #MindSkill
account_circle
Umoja wa Mataifa(@UmojaWaMataifa) 's Twitter Profile Photo

Wauguzi wana jukumu kuu katika mifumo ya afya ulimwenguni kote.

Waonyeshe mshikamano wako kwenye Siku hii ya Kimataifa ya Wauguzi! who.int/en/news-room/f…

Wauguzi wana jukumu kuu katika mifumo ya afya ulimwenguni kote. Waonyeshe mshikamano wako kwenye Siku hii ya Kimataifa ya Wauguzi! who.int/en/news-room/f… #InternationalNursesDay
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei, 2024.

Fahamu 👇
1. Ipi ni historia ya siku ya familia duniani?
2. Familia ni akina nani?
3. Tunaadhimisha vipi siku hii mwaka huu?

KUMBUKA: Familia yako ni Baraka yako, ipende, iheshimu, ijali na itakie Heri daima 💕

Nakutakia wewe na

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei, 2024. Fahamu 👇 1. Ipi ni historia ya siku ya familia duniani? 2. Familia ni akina nani? 3. Tunaadhimisha vipi siku hii mwaka huu? KUMBUKA: Familia yako ni Baraka yako, ipende, iheshimu, ijali na itakie Heri daima 💕 Nakutakia wewe na
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024.

“Tukubali Tofauti Zetu kwenye Familia; Kuimarisha Malezi ya Watoto’’ ni Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024.

Fahamu 👇

1. Maana na lengo la kaulimbiu hii.
2. Ukubwa wa tatizo la migogoro na mifarakano ya

Kuelekea Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024. “Tukubali Tofauti Zetu kwenye Familia; Kuimarisha Malezi ya Watoto’’ ni Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani 15 Mei 2024. Fahamu 👇 1. Maana na lengo la kaulimbiu hii. 2. Ukubwa wa tatizo la migogoro na mifarakano ya
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani tarehe 15 Mei, 2024; Je wajua kuwa:

1. Siku hizi ukatili siyo wa ana kwa ana tu bali upo na ukatili wa mitandaoni?
2. Je unajua kuwa watoto ni watumiaji wazuri wa mitandao na wengi hutumia bila uangalizi wa watu wazima na matokeo yake hukatiliwa

Kuelekea Siku ya Familia Duniani tarehe 15 Mei, 2024; Je wajua kuwa: 1. Siku hizi ukatili siyo wa ana kwa ana tu bali upo na ukatili wa mitandaoni? 2. Je unajua kuwa watoto ni watumiaji wazuri wa mitandao na wengi hutumia bila uangalizi wa watu wazima na matokeo yake hukatiliwa
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Taarifa/Elimu

1a). Je wajua kuwa, ndani ya miezi 10 tu familia 14,600 ziliripoti kuwa na migogoro ya kifamilia?

1b). Je wajua wangapi hawakuripoti wakaamua kuvunja familia na kutelekeza watoto?

Tafadhali tukubaliane tu na Kaulimbiu kwamba: “Tukubali Tofauti Zetu kwenye

Taarifa/Elimu 1a). Je wajua kuwa, ndani ya miezi 10 tu familia 14,600 ziliripoti kuwa na migogoro ya kifamilia? 1b). Je wajua wangapi hawakuripoti wakaamua kuvunja familia na kutelekeza watoto? Tafadhali tukubaliane tu na Kaulimbiu kwamba: “Tukubali Tofauti Zetu kwenye
account_circle
Dr. Dorothy Gwajima(@Dr_DGwajima) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani tarehe 15 Mei, 2024.

Je wajua baadhi ya hatua za Serikali na wadau wake kwenye utengamao wa familia? Hii ni kwa uchache.

Wito kwa wadau wote kila mmoja kutimiza wajibu wake kwa ustawi wa familia. Inawezekana kuwa na familia tulivu zenye upendo

Kuelekea Siku ya Familia Duniani tarehe 15 Mei, 2024. Je wajua baadhi ya hatua za Serikali na wadau wake kwenye utengamao wa familia? Hii ni kwa uchache. Wito kwa wadau wote kila mmoja kutimiza wajibu wake kwa ustawi wa familia. Inawezekana kuwa na familia tulivu zenye upendo
account_circle