Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profileg
Ummy Mwalimu, MP

@ummymwalimu

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMember of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020

ID:525260096

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today15-03-2012 10:55:12

8,3K Tweets

899,7K Followers

709 Following

Follow People
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 17 May 2024 nilipata heshma ya kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga.

Jukwaa hili linaundwa na wajumbe 5 kutoka kata zote 27 za Halmashauri za Jiji la Tanga. Ninampongeza Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wanawake Wilaya ya Tanga Bi.

Tarehe 17 May 2024 nilipata heshma ya kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga. Jukwaa hili linaundwa na wajumbe 5 kutoka kata zote 27 za Halmashauri za Jiji la Tanga. Ninampongeza Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wanawake Wilaya ya Tanga Bi.
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TUWEKE MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA USTAWI WA JAMII YETU

Na WAF, Dodoma

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, MP ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo.

Waziri Ummy ametoa wito huo

TUWEKE MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA USTAWI WA JAMII YETU Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. @ummymwalimu ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo. Waziri Ummy ametoa wito huo
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Asanteni wadau wetu @apothekertz DMF foundation kwa kuunga mkono jitihada zetu za kuelimisha jamii kuhusu madhara ya matumizi yasiyo sahihi ya dawa hususani dawa za antibiotics

Asanteni wadau wetu @apothekertz @dorismollel foundation kwa kuunga mkono jitihada zetu za kuelimisha jamii kuhusu madhara ya matumizi yasiyo sahihi ya dawa hususani dawa za antibiotics #MtuNiAfya
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga mjini Mhe Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi ya dawa za antibiotik kiholela jambo ambalo linapeleka usugu wa vimelea vya magonjwa.

Waziri ummy ameyasema hayo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa jamii kuhusu

Waziri wa afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga mjini Mhe Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi ya dawa za antibiotik kiholela jambo ambalo linapeleka usugu wa vimelea vya magonjwa. Waziri ummy ameyasema hayo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa jamii kuhusu
account_circle
Ummy Mwalimu, MP(@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Leo tumewapokea bingwa 55 ambao watatoa huduma katika Hospitali 11 za ngazi ya Halmashauri ktk Halmashauri zote za Mkoa wa Tanga.

Madaktari hawa ni wa fani zifuatazo;-
1. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya Uzazi na Wanawake (Obstetrician/Gynoecologist)
2. Daktari

Leo tumewapokea #Madaktari bingwa 55 ambao watatoa huduma katika Hospitali 11 za ngazi ya Halmashauri ktk Halmashauri zote za Mkoa wa Tanga. Madaktari hawa ni wa fani zifuatazo;- 1. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Afya ya Uzazi na Wanawake (Obstetrician/Gynoecologist) 2. Daktari
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MADAKTARI BINGWA WATUA TANGA KUTOA HUDUMA KATIKA HOSPITALI ZA WILAYA 11

Na WAF โ€“ Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka Madaktari bingwa wa Rais Samia kufanya kazi kwa kuzingatia uadilifu, weledi na utu katika utoaji wa huduma za kibingwa na

MADAKTARI BINGWA WATUA TANGA KUTOA HUDUMA KATIKA HOSPITALI ZA WILAYA 11 Na WAF โ€“ Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka Madaktari bingwa wa Rais Samia kufanya kazi kwa kuzingatia uadilifu, weledi na utu katika utoaji wa huduma za kibingwa na
account_circle