TACAIDS(@tacaidsinfo) 's Twitter Profileg
TACAIDS

@tacaidsinfo

Ukurasa Rasmi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS

ID:4169350288

linkhttp://www.tacaids.go.tz calendar_today12-11-2015 06:17:05

788 Tweets

1,4K Followers

363 Following

TACAIDS(@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania NEEC Tanzania. Bi. Beng'i M. Issa akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania @neec_uwezeshaji. Bi. Beng'i M. Issa akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS #RIPKihongo
account_circle
TACAIDS(@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na VVU NACOPHA Ndugu Deogratius Rutatwa akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na VVU @NACOPHA Ndugu Deogratius Rutatwa akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS. #RIPKihongo
account_circle
TACAIDS(@tacaidsinfo) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dkt. Leonard Maboko Leonard Maboko akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dkt. Leonard Maboko @maboko_leonard akisaini kitabu Cha maombolezo katika msiba wa Ndugu Renatus M. Kihongo aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Program Maalum - TACAIDS #RIPKihongo
account_circle
UNAIDS Tanzania(@UNAIDSTanzania) 's Twitter Profile Photo

Keeping girls until secondary education, addressing gender inequalities, and challenging masculinity are 3 key things to address in order to reduce girls and young women vulnerability to HIV infection says Winnie Byanyima during high level meeting in ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟUNAIDS Eastern & Southern Africa

Keeping girls until secondary education, addressing gender inequalities, and challenging masculinity are 3 key things to address in order to reduce girls and young women vulnerability to HIV infection says @Winnie_Byanyima during #takethelead high level meeting in ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ@UNAIDS_ESA
account_circle
UNAIDS Global(@UNAIDS) 's Twitter Profile Photo

With the 'Equalize' slogan, this (1 December) UNAIDS is urging everyone to address the inequalities which are holding back progress in .

account_circle
UNAIDS Tanzania(@UNAIDSTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania HIV prevention technical experts are participating in the ongoing meeting for GlobalHIVPreventionCoalition countries to discuss and adopt the 2025 prevention roadmap. We need to act with urgency to reducing the number of new HIV infections especially among AGYW

Tanzania HIV prevention technical experts are participating in the ongoing meeting for @GPCoalition countries to discuss and adopt the 2025 prevention roadmap. We need to act with urgency to reducing the number of new HIV infections especially among AGYW
account_circle
CDC Tanzania(@CdcTanzania) 's Twitter Profile Photo

THIS 2022-2023 itasaidia Tanzania kuendeleza na kuboresha mafanikio yake ya VVU. Watu waliochaguliwa kushiriki watapewa taarifa kuhusu kinga, matunzo na matibabu ya VVU. Wale watakaotoa kibali watapewa upimaji wa VVU na kurudishiwa matokeo na ushauri nasaha.

Tanzania ilipunguza nusu ya idadi vifo vinavyohusiana na VVU katika kipindi cha muongo uliopita, lakini bado kuna kazi zaidi ya kufanya ili kufikia mwisho.Bado ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni 1 kati ya nchi 5 zinazoongoza kwa visa vingi vya VVU. THIS 2022-2023 itatoa taarifa muhimu za kumaliza janga hili.

Utafiti wa viashiria na matokeo ya VVU Tanzania (THIS) 2022-2023 unaopima maendeleo ya mwitikio wa kitaifa wa VVU, unazinduliwa wiki hii. Tutatoa machapisho zaidi kuhusu utafiti uliopita 2016-2017, umuhimu wa utafiti mpya, na matukio kwenye uzinduzi jijini Mwanza na Zanzibar.

ICAP(@ICAP_ColumbiaU) 's Twitter Profile Photo

Today marked the launch of the latest , the HIV Impact Survey. ICAP, with support from PEPFAR, CDC, and other partners, will assess progress toward epidemic control in the country: ow.ly/YLtC50KWTGi

Today marked the launch of the latest #PHIA, the #Tanzania HIV Impact Survey. @ICAP_ColumbiaU, with support from @PEPFAR, @CDCgov, and other partners, will assess progress toward #HIV epidemic control in the country: ow.ly/YLtC50KWTGi
account_circle