Wizara ya Afya Zanzibar(@mohznz1) 's Twitter Profileg
Wizara ya Afya Zanzibar

@mohznz1

Ukurasa rasmi wa Wizara ya Afya Zanzibar. Ukurasa huu unasimamiwa na kuendeshwa na kitengo cha Tehama cha Wizara ya Afya Zanzibar.

ID:1511602938623533056

linkhttps://mohz.go.tz calendar_today06-04-2022 07:13:32

588 Tweets

825 Followers

72 Following

Wizara ya Afya Zanzibar(@mohznz1) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa pamoja baina ya waandishi wa habari na viongozi wa Wauguzi na Wakunga kwa ajili ya siku ya wauguzi na wakunga duniani.

Mkutano wa pamoja baina ya waandishi wa habari na viongozi wa Wauguzi na Wakunga kwa ajili ya siku ya wauguzi na wakunga duniani.
account_circle
Wizara ya Afya Zanzibar(@mohznz1) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada ya Maendeleo la Marekani, Craig Hart,
alisema, Mfuko wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Malaria (PMI), utaendelea kushirikiana na Tanzania kupambana na kumaliza malaria.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada ya Maendeleo la Marekani, Craig Hart, alisema, Mfuko wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Malaria (PMI), utaendelea kushirikiana na Tanzania kupambana na kumaliza malaria.
account_circle
USAIDTanzania(@USAIDTanzania) 's Twitter Profile Photo

To celebrate 🎉 ! 🦟 U.S. President's Malaria Initiative (PMI) launched a USAID led insecticide-treated bed net mass replacement campaign to support Tanzania's efforts by distributing 860,000 treated bed nets and continuing vector control interventions in Zanzibar.🌟🇺🇸🤝🇹🇿
Wizara ya Afya Zanzibar US Embassy Tanzania

To celebrate 🎉#WorldMalariaDay! 🦟 @PMIgov launched a @USAID led insecticide-treated bed net mass replacement campaign to support Tanzania's efforts by distributing 860,000 treated bed nets and continuing vector control interventions in Zanzibar.🌟🇺🇸🤝🇹🇿 @mohznz1 @usembassytz
account_circle
CDC Tanzania(@CdcTanzania) 's Twitter Profile Photo

HE Dr Hussein Mwinyi, President of Zanzibar received Medical Laboratory Policy Guidelines from @cdctanzania Dr Wangeci Gatei. CDC Global Health provides technical assistance to Govt of Zanzibar on HIV/TB, global health protection, & malaria

HE Dr Hussein Mwinyi, President of Zanzibar received Medical Laboratory Policy Guidelines from @cdctanzania Dr Wangeci Gatei. @CDCGlobal provides technical assistance to Govt of Zanzibar on HIV/TB, global health protection, & malaria
account_circle
USAIDTanzania(@USAIDTanzania) 's Twitter Profile Photo

Happy !🌍🌱Through U.S. President's Malaria Initiative (PMI) and US contribution of $ 747 million Tanzania's malaria rates have significantly⬇️to 8% on the mainland and less than 1% in Zanzibar! Let's celebrate this progress & keep fighting for malaria elimination! 🎉 🇺🇸🤝🇹🇿 Wizara ya Afya Zanzibar US Embassy Tanzania

Happy #WorldMalariaDay!🌍🌱Through @PMIgov and US contribution of $ 747 million Tanzania's malaria rates have significantly⬇️to 8% on the mainland and less than 1% in Zanzibar! Let's celebrate this progress & keep fighting for malaria elimination! 🎉 🇺🇸🤝🇹🇿 @mohznz1 @usembassytz
account_circle
US Embassy Tanzania(@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

The United States government through the U.S. Agency for International Development (USAID) and the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) joined the Revolutionary Government of Zanzibar to commemorate World Malaria Day and announce a new wide-reaching mosquito net…

Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) wameungana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani na kutangaza kampeni ya usambazaji wa vyandarua…