Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

: Nilitiwa mbaroni kwa kesi inayohusiana na makahaba nilipomwita mke wangu katika kituo cha polisi alikataa kunisaidia na akafunganya virago akaenda kwao. Je, nifanyeje?

account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

: Licha ya hali ngumu ya kiuchumi, mke wangu hataki tuhamishe watoto wetu kutoka kwa shule walioko sahii ambayo nahisi karo iko juu. Je, nifanyeje?

account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

:Baba mzazi alitoroka na akatuwacha tukiwa wachanga sasa nimekua mkubwa nataka kuoleka amejitokeza akadai anatakwa ahusishwe kwenye mipango za mahari. Je, nifanyeje?

account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

: Wakati wowote mke wangu na mama yangu wanagombana, sijui nimuunge mkono nani na nani wa kusahihisha jambo hili linanitatiza sana Je, nifanyeje?

account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

: Nilimdanganya mume wangu yakwamba ex wangu ambaye tulijaliwa mtoto mmoja aliaga. Sasa nahofia ex wangu anaeza rudi kuchukua mtoto wake. Je, nifanyeje?

account_circle