Alhamisi maridadi tunajumuika tena ndani ya #DriveOnReloaded tuweze kuhimizana, kuelimishana na kuburudika. Karibu katika Alhamisi ya mahojiano unatupata ukiwa wapi?
Tina Ogal
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Mibibi na mijizee, karibuni ndani ya #GoodEveningKenya tuweze kuelimishana na kuburudika pamoja. Umeshindaje leo hii na unatupata ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya #DriveOnReloaded tuweze kuburudika na kujadiliana zaidi maswala yote yanayotuhusu ukiwa na Tina Ogal na Abdi Munai . Unatupata ukiwa wapi jioni hii?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Siku ya kupelekwa na rada ya Teachings kwa #WaksTikiTaka na mbogi yako Ann Q-tee Dj Ronixx The Don IBU BADMAN™ #RadioNumberOne
Tulipata ulimwengu huu ukiwa na miti, lazima tuiwache ikiwa na miti kwa sababu ya vizazi vinavyokuja.
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Je, unahisi kama taifa tuko tayari kwa ufunguzi wa shule zetu?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Jizee, hujambo? Umeshindaje leo hii? Karibu ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua. Je, Unatupata ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya #DriveOnReloaded ukiwa na Tina Ogal na @abdimunai. Umeshindaje leo hii na unatupata ukiwa wapi?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Mpango mzima wa #DriveOnReloaded ushaanza ukiwa na Tina Ogal na @abdimunai.Je, unatupata ukiwa wapi ?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
#NP Thank You MR DJ yake Yvonne Chaka Chaka ndami ya #MsetoTBT ukiwa na Mzazi Willy M. Tuva, Kadot na DJ Flash Kenya
#MsetoTBT
#RadioNumberOne
Mibibi na mijizee, ni awamu ya #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua. Siku yako imekuaje na unatupata ukiwa wapi ?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne