Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Jamaa na familia yake wasema wanangoja finance bill ipitishwe ili wajue bidhaa ambazo zitaongezwa bei ndiposa watoe mahari. Hivo ndivyo alikosa mke!


account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Kati ya kampuni kumi na moja zilizopewa kandarasi ya mafuta, nne zinamilikiwa na mwanabiashara mmoja kwa jina Bi Mary Wambui. Hii ni Mika wapi ya taarifa zilizo angaziwa kwenye magazeti ya leo. Maoni yako ni gani?

account_circle
Magic Leap(@magicleap) 's Twitter Profile Photo

Transform collaboration, training, and visualization with immersive enterprise AR solutions. Break through physical barriers to boost productivity and drive innovation with AR technology.

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Seneta mteule wa UDA Bi Mary, apendekeza sheria mpya bungeni kwamba ikiwa umeolewa kisha upoteze mume wako, kisha uamue kuoa ama kuolewa tena, basi haufai kudai mali ya marehemu.Kuchangia maoni yako, piga simu 0204445975 ama sms kwa 22494.

account_circle