Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profileg
Radio Jambo

@RadioJamboKenya

Ongea usikike! 🇰🇪 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | 📻

ID:2515401066

linkhttps://radiojambo.co.ke calendar_today22-05-2014 13:13:01

437,2K Tweets

245,4K Followers

311 Following

Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Uwanja wa ndege wa Dubai ulisema shughuli 'zilibadilishwa kwa muda' - ingawa zimeanza tena. radiojambo.co.ke/habari/kimatai…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Wakati mgomo wa madaktari unaendelea kutokea, hospitali na makafafaru wanaeleza kuwa kuna ongezeko la idadi ya vifo vya watu wanaopelekwa huko wakati mzozo kati ya madaktari na serikali ukiendelea.

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Kanyari, hata hivyo ameutilia uzito wimbo huo akisema kuwa hakuna ‘mbegu’ zilizopotea. radiojambo.co.ke/burudani/dakia…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

'Hebu tuweni na nguvu sawia, zile nguvu ambazo watu hutumia kuchangisha wakati mtu amekufa, tuzitumie kufanikisha maisha ya watu wakiwa hai, acha tuwafanye wajue kuwa tunawathamini.' radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Burgos kisha akasema: 'Ikiwa hatafanya vizuri, anaishia kwenye taa', kisingizio kikiwa kwamba angekuwa maskini kama si soka. Yamal alizaliwa nchini Uhispania na wazazi wa Morocco na Equatorial Guinea. radiojambo.co.ke/michezo/footba…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Msichana mdogo alirudisha maikrofoni kwenye kituo chake kabla ya kuachia tabasamu pana. radiojambo.co.ke/burudani/2024-…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Kesi hiyo itatajwa Aprili 23, 2024, ambapo mahakama pia itatoa uamuzi wa hukumu ya awali ya dhamana. radiojambo.co.ke/habari/mahakam…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Odhiambo amefafanua kuwa picha hiyo ilikuwa ya mazungumzo ya zamani ya kikundi na ilikusudiwa kama mzaha. radiojambo.co.ke/burudani/2024-…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

'Mwanamke pia sharti uwe na uwezo wa kuleta mezani vitu kama title deed, logbook, biashara, kampuni. Ni lazima tuwe na kizazi cha wanawake ambao kazi yao sio tu kuchora eyebrows, chora eyebrows na mipango ya kibiashara pia,” alisema. radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Tesla ina wastani wa wafanyikazi 140,000, ambayo inamaanisha kuwa 14,000 wanatarajiwa kupoteza kazi zao - na mamia ya majukumu yanaweza kupotea katika mataifa mbalimbali ambako kampuni hiyo inahudumu. radiojambo.co.ke/habari/uhondo/…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

'Niliwaza kwamba ndio ninaweza amau na nimnunulie simu hiyo lakini nilitaka nyinyi mashabiki wake mshukuru kwa kazi nzuri anayowafanyia, kwa hiyo tuje pamoja kama familia na kumnunulia simu,” Obinna alieleza. radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Nganga alituma tena video ya matamshi ya mke wa rais na kumtaka ajiepushe na kuhusisha thamani ya shilingi ya Kenya dhidi ya dola na uingiliaji kati wa Mungu. radiojambo.co.ke/burudani/2024-…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

“Hata ukiangalia, tangu sisi tuanze, kwa mfano mimi nilitambulika kimuziki 2012 lakini mpaka sasa hivi bado tuko kwa game, si eti kwa sababu tunapenda bali ni juu hakuna wasanii wapya.' alisema.

radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Nevatim, aliwaambia wanajeshi wa angani kwamba hatua ya Iran kurusha makombora haiwezi kuachwa kupita bila kujibiwa. radiojambo.co.ke/habari/kimatai…

account_circle