Ni Mambo gani au vitu vipi vinakupelekea wewe na #Mpenzi wako mgombane mara kwa mara? Share nasi kwenye #Comment tujadili wote kupitia #DADAZ leo.. #KaaKaribu na #LuningaYako #KunaKituKitatokea
.
.
.
#HainaKuchoka #NguvuZaidi #EastAfricaTV Bhoke Nia Egina @msnajmapaul
#DADAZ : Msanii wa muziki wa Bongofleva anaitwa @officialsultanatz ameeleza kitu ambacho hawezi kukisahau kwa mama yake ni siku alimuazimia nywele kwa marafiki zake ili apendeze kwenye video yake ya kwanza.
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #KunaKitu
#DADAZ : Msanii mchekeshaji JK Comedian @jkcomedian01 kwenye DADAZ ya #EastAfricaTV amewapa maua yao Watangazaji wa kipindi cha DADAZ kwa kuigiza sauti ya Rais Mstaafu, Mzee wa Msoga, Jakaya Mrisho Kikwete.
#DADAZ #EastAfricaTV #HainaKuchoka #Maua #KunaKitu