MNYIKA John John(@jjmnyika) 's Twitter Profileg
MNYIKA John John

@jjmnyika

CHADEMA Secretary General | MP, Kibamba constituency (2015-2020)| Former MP, Ubungo Constituency (2010-2015) | Deputy Secretary General-Mainland (2014-2019)

ID:89898588

linkhttp://mnyika.blogspot.com calendar_today14-11-2009 08:18:07

15,7K Tweets

1,0M Followers

29,3K Following

CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiteta jambo na Katibu Mkuu Mhe. MNYIKA John John katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es Salaam, leo ikiwa ni siku ya pili ya kikao hicho.

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz akiteta jambo na Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es Salaam, leo ikiwa ni siku ya pili ya kikao hicho.
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamepatiwa dhamana kwa mashtaka yanayowakabili baada ya leo Jumatatu Mei 06, 2024 kufikishwa mahakamani.

Wamepatiwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa masharti ya kila mdhamini kusaini bondi ya Shilingi milioni 2 huku…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Tanga imesimama kuhesabiwa!

Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa
Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…

Tanga imesimama kuhesabiwa! Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni katika viwanja vya bunge Tanzania ambapo maandamano yanapita muda huu, waandamanaji wamesikika wakisema WANATAKA KATIBA MPYA

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 🚨
‼️Tahadhari ya NJAMA na FIGISU‼️ 2024/2025
Uboreshaji wa daftari la wapiga kura unaojumuisha kuandikisha wapigakura wapya inaenda sambamba na kuhakikisha
👉🏽 watendaji wanachuja watuma maombi
👉🏽 CCM walikuwa na vikao na watendaji na wameshapewa…

🚨🚨#Tanzania 🚨 ‼️Tahadhari ya NJAMA na FIGISU‼️ #Uchaguzi 2024/2025 Uboreshaji wa daftari la wapiga kura unaojumuisha kuandikisha wapigakura wapya inaenda sambamba na kuhakikisha 👉🏽 watendaji wanachuja watuma maombi 👉🏽 CCM walikuwa na vikao na watendaji na wameshapewa…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

HABARI PICHA:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara Tundu Antipas Lissu akiongoza maandamano ya amani wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara leo Ijumaa tarehe 26 Aprili, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa wiki ya maandamano nchi nzima kama ilivyotangazwa na…

HABARI PICHA: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara Tundu Antipas Lissu akiongoza maandamano ya amani wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara leo Ijumaa tarehe 26 Aprili, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa wiki ya maandamano nchi nzima kama ilivyotangazwa na…
account_circle
NTOBI(@Ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Update: 15:45 Jeshi la Polisi linawatoa muda huu Boniface Jacob na MalisaGJ katika kituo cha Polisi Mbweni na kuwapeleka Polisi sentro kwa kinachoitwa 'mahojiano zaidi'.

Police Force TZ acheni ushamba wachilieni huru haraka Bon & Malisa

Update: 15:45 Jeshi la Polisi linawatoa muda huu @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ katika kituo cha Polisi Mbweni na kuwapeleka Polisi sentro kwa kinachoitwa 'mahojiano zaidi'. @tanpol acheni ushamba wachilieni huru haraka Bon & Malisa #FreeBonAndMalisa
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 ‼️🚨
Kuhusu Uchaguzi na daftari ya wapiga kura 👇🏾
The fix is in! Uchaguzi ushaanza kupangwa muda huu
Mdau anasisitiza huu utaratibu wa maombi kupitia kwa watendaji ni njia ya kuhakikisha kuwa wanaoajiriwa ni wanaCCM

The election process has been set up for…

🚨🚨 #Tanzania ‼️🚨 Kuhusu Uchaguzi na daftari ya wapiga kura 👇🏾 The fix is in! Uchaguzi ushaanza kupangwa muda huu Mdau anasisitiza huu utaratibu wa maombi kupitia kwa watendaji ni njia ya kuhakikisha kuwa wanaoajiriwa ni wanaCCM The election process has been set up for…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya upekuzi nyumbani kwa Boniface Jacob imemalizika. Polisi wameondoka na mtuhumiwa kurudi naye kituo cha polisi kati (central police). Wamechukua simu (samsung) na Laptop ambayo watoto wanatumia kuchezea. Godlisten Malisa bado wapo naye njiani. Tutaendelea kuwajuza.

account_circle
Deogratias Mahinyila(@AdvMahinyila) 's Twitter Profile Photo

Ni Tanzania pekee Askari anaweza kutoka Dar es salaam hadi Kidia, Moshi Vijijini (Kilimanjaro) Karibia KM 600 kwenda kupekua Uchochezi au taarifa za Uongo. Kuna jina lingine zuri la kuuita huu ujinga zaidi ya UPUMBAVU?

Ni Tanzania pekee Askari anaweza kutoka Dar es salaam hadi Kidia, Moshi Vijijini (Kilimanjaro) Karibia KM 600 kwenda kupekua Uchochezi au taarifa za Uongo. Kuna jina lingine zuri la kuuita huu ujinga zaidi ya UPUMBAVU?
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

MWANZO HABARI LIVE: Chadema yawasha moto ya maandamano Tanzania
youtube.com/live/MdxH3HyYz… x.com/i/broadcasts/1…

account_circle