Joyce R Mbura(@Joy_Mbura) 's Twitter Profileg
Joyce R Mbura

@Joy_Mbura

Water and Sanitation advocacy | SDGโ€™s Implementer| Leave No One Behind |Social Runner | ๐Ÿ“šReader|Official Trainer Wa @bajabiri

ID:1324292173538512896

calendar_today05-11-2020 10:07:26

99,5K Tweets

13,7K Followers

2,7K Following

Follow People
Mr. iGl๐ŸŒbal(@AndrewSextus) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธNews!

Kama kuna mtu yupo interested kwenda kwenye maonyesho nchini China mwezi June ya Import & Export of Medicine & Health Products. Nicheck nikufanyie application upate invitation letter ya kwenda.

Nahitaji watu 15 tu.

NB: Gharama zote ni juu yako.

account_circle
Joyce R Mbura(@Joy_Mbura) 's Twitter Profile Photo

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต

account_circle
Suleiman El-Abriy ๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿณ(@abriy_suleiman) 's Twitter Profile Photo

Karibuni Pemba Taste Products โ˜บ๏ธ

๐Ÿ›Pilau Masala ๐Ÿฒ Biryani Masala.
๐Ÿ—Chicken Masala ๐Ÿฅฉ Meat Masala.
๐ŸŸFish Masala โ˜• Tea Masala.
๐ŸตHerbal Tea ๐Ÿฒ Curry Powder.
๐Ÿฅ˜Garam Masala ๐Ÿง†Tandoori.

๐Ÿ“Tupo Majestic Unguja
๐Ÿ“ฆ Mikoani Tunatuma
๐Ÿ“ž+255 774 105 389
๐Ÿ‘Œ๐ŸพZBS โœ… ZFDA โœ…

account_circle
Joyce R Mbura(@Joy_Mbura) 's Twitter Profile Photo

Wakili atakeke huko kwa hao Corporate weeee,Iล‚a sasa local Ndio tupo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€,wavaa vijora,wasiokuwa na nauli ๐Ÿ˜€

Wakili atakeke huko kwa hao Corporate weeee,Iล‚a sasa local Ndio tupo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€,wavaa vijora,wasiokuwa na nauli ๐Ÿ˜€
account_circle
Joyce R Mbura(@Joy_Mbura) 's Twitter Profile Photo

Karibuni sana Malembo Farm kwa mahitaji ya mboga mboga zenye ubora na elimu zaidi kuhusu kilimo.

Nk:Boss kasema retweet 20 tu anaifungua ile barua yangu ya Maombi ya kazi๐Ÿ˜€.Kipepe atulie kwanza.

Karibuni sana @MalemboFarm kwa mahitaji ya mboga mboga zenye ubora na elimu zaidi kuhusu kilimo. Nk:Boss kasema retweet 20 tu anaifungua ile barua yangu ya Maombi ya kazi๐Ÿ˜€.Kipepe atulie kwanza.
account_circle
TAMWA Zanzibar(@TAMWA_Zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Katika kuadhimisha Siku ya , mjumbe wa Kamati ya Vyombo vya Habari Zanzibar (ZAMECO), Shifaa Said alihimiza mamlaka kukamilisha mchakati wa mabadiliko ya sheria za Habari zinazokwaza upatikanaji wa uhuru wa habari.

'Mabadiliko Sheria za Habari yatafanyika lini?'

account_circle
UNESCO Dar es Salaam(@unescodar) 's Twitter Profile Photo

'I had the pleasure of meeting H.E. Ambassador Yahya Ahmed Okeish of the Kingdom of Saudi Arabia in Tanzania to discuss strengthening our cooperation on heritage preservation in Zanzibar.' โ€” Michel Toto, UNESCO Head of Office and Representative

'I had the pleasure of meeting H.E. Ambassador Yahya Ahmed Okeish of the Kingdom of Saudi Arabia in Tanzania to discuss strengthening our cooperation on heritage preservation in Zanzibar.' โ€” Michel Toto, UNESCO Head of Office and Representative
account_circle
TricyLove๐Ÿฆ(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Hello kijana usijali wiki ilopita sio kama hii ๐Ÿ˜Š amini utapata kwa mapenzi ya Mungu muhimu ni kutovunjika moyo na kuwa na bidii, muombe Mungu akufanyie wepesi kwenye utafutaji wako kila uchwao.

Ukawe na wiki yenye kuzaa matunda.

Hello kijana usijali wiki ilopita sio kama hii ๐Ÿ˜Š amini utapata kwa mapenzi ya Mungu muhimu ni kutovunjika moyo na kuwa na bidii, muombe Mungu akufanyie wepesi kwenye utafutaji wako kila uchwao. Ukawe na wiki yenye kuzaa matunda.
account_circle