MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸(@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

Mhe MBOWE leo ataongoza maandamano makubwa katika mji wa MOSHI

Mhe LISSU leo atangoza maanadamno makubwa mkoa wa MOROGORO

Na maandamano ya week hii yametusaidia kuibua tena hoja ya TANGANYIKA

waTangayika wanaitaka Nchi yao ili kila mtu akauze bandari za nchi yao😂😂😂

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kilimanjaro imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wana wa Kilimanjaro kwakujitokeza kwa wingi kwenye maandamano yetu ya leo, ambayo yanahitimisha awamu ya kwanza ya maandamano ngazi za mikoa.
Tumeunganisha Watu, wake kwa waume, wazee, vijana kwa watoto, na kufikisha ujumbe na…

MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Vigogo wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, hii leo wameandaa maandamano makubwa maeneo tofauti tofauti nchini Tanzania ambapo leo ni siku ya nane tangu maandamno hayo kuanza siku ya Jumatatu wiki iliyopita.

Habari zaidi: youtube.com/live/29tb-Yngo…

account_circle
Deogratias Mahinyila(@AdvMahinyila) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Singida. Tukutane Dodoma 29/04/2024. Haya ni Maandamano ya Amani. Ninachokifahamu mimi Amani ni zao la Haki. Isipokuwepo Haki yanaweza kutokea Maandamano mengine yenye jina tofauti na hili siku za Usoni.

Twaha Mwaipaya(@Twaha_Mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Jana nikiwa mstari wa mbele kabisa kwenye maandamano ya Bukoba nikihakikisha kila kitu kipo sawa, tukutane leo Kahama.