Baraza Media Lab(@BarazaLab) 's Twitter Profile Photo

Thrilled to announce the 1st SheLeads Media Fellows! πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
A record-breaking response brought us talented journalists from across East Africa. Congratulations to the 27 fellows & their powerful stories!
Stay tuned for their journeys!✨

#SheLeads #BarazaPrograms
account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Vita la Israel linafikiria kufanya mashambulio ya kulipa kisasi nchini Iran ambayo hayata sababisha vifo popote.
Ingawa Netanyahu yupo kwenye presha kubwa kutoka US na EU wote wakimkataza asifanye shambulio lolote kwa Iran.

#Behindthescene 
#BilaGanzi
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake ambao umeleta mageuzi

#HABARI Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake ambao umeleta mageuzi
account_circle
Shartsi K Musherure(@SMusherure) 's Twitter Profile Photo

This week, we are accounting to our people at the ongoing leaders Baraza in Mitima and Kawanda Subcounties.

Special appreciation to our district leadership for their passion for service delivery + accountability.

Decoh(@OkudoDeric) 's Twitter Profile Photo

Aquaculture is costly and needs alot of research, i heard some leaders like Didmus Baraza yapping that we only need a lake to rear fishπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MWANZA: Bodi ya Usajili wa Makandarasi ( ) pamoja na Baraza la Taifa la Ujenzi ( ) wametakiwa kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya Mwaka 2004 na kuelekezwa kuwa mabaraza hayo yafanye kazi isiwe kuundwa

MWANZA: Bodi ya Usajili wa Makandarasi (#CRB) pamoja na Baraza la Taifa la Ujenzi (#NCC) wametakiwa kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya Mwaka 2004 na kuelekezwa kuwa mabaraza hayo yafanye kazi isiwe kuundwa
account_circle
Maua Mazuri(@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Ni heshima kubwa kupokea ugeni wa Wajumbe wa Kamati ya Utalii, Kilimo na Biashara ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Lengo kuu la Ziara hii ni kujifunza juu ya teknolojia ya Tissue Culture na umuhimu wake Kwenye sekta ya kilimo kuinua uchumi wa Wakulima wa Tanzania Visiwani

NemcTanzania(@NemcTanzania) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali ya Pew Charitable Trusts (PEW) na Wetlands International (WI) wajipanga kuhifadhi maeneo ya fukwe za bahari.

Paschal Mover.(@PaschalSimba9) 's Twitter Profile Photo

Matendo 5:40-41

[40]Wakakubali maneno yake; nao walipowaita mitume, wakawapiga, wakawaamuru wasinene kwa jina lake Yesu; kisha wakawaacha waende zao.
[41]Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya Jina hilo.

account_circle
Joel Msuya(@JoelHamisMsuya) 's Twitter Profile Photo

Leo jumatano Baraza la uongozi la CHADEMA mkoa wa kichama ILALA limeketi kikao chake cha kwanza kwaajili ya kujadili mipango na mikakati ndani ya mkoa wa ilala. Kikao hicho kimeongozwa na mwenyekiti wa chama mkoa Kamanda Waziri Mwenevyiale.

#KatibaMpya
#ChademaILaLa
account_circle