Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Utepe umekatwa! Safari ya kutoboa na Kikoba imeanza rasmi! Sajili Kikoba, jiunge na Kikoba kwa simu yako ya mkononi tena ukiwa katika mtandao wako pendwa. Au piga *150*21# kupata vikoba vyote.

account_circle
Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Usikae mbali na redio kwa sababu tunazidi kukuelimisha kuhusu huduma ya kikoba kutoka ni muda wako wa kutoboa. Karibu katika maisha ya kidijitali.

Usikae mbali na redio kwa sababu tunazidi kukuelimisha kuhusu huduma ya kikoba kutoka #TCBBank ni muda wako wa kutoboa. Karibu katika maisha ya kidijitali.
#toboanakikoba 
#benkiinayomuelewamtanzania
account_circle
Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Mtu wa maana kabisa kutoka TCB Benki atakuwa ndani ya Amplifaya ya Clouds FM akiikamilisha jioni yako tulivu kwa kukupa madini kuhusu mchongo mpya town wa Kikoba. Usizime redio yako!

Mtu wa maana kabisa kutoka TCB Benki atakuwa ndani ya Amplifaya ya Clouds FM akiikamilisha jioni yako tulivu kwa kukupa madini kuhusu mchongo mpya town wa Kikoba. Usizime redio yako!

#ToboaNaKikoba
#TCBBank
#BenkiInayomuelewaMtanzania
account_circle
Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Benki ya TCB ilitambuliwa kama kampuni inayoibukia na ya mabadiliko ya afya na usalama kazini na OSHA wiki iliyopita katika siku ya usalama na afya kazini duniani. Tunaelewa umuhimu wa usalama wa wafanyakazi wetu wakiwa kazini.

account_circle
Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Leo tumezindua rasmi timu zitakazoingia mtaani, nchi zima, kuhamasisha utumiaji wa Kikoba mtandaoni. Sasa unaweza kuanzisha na kuendesha Vikoba kwa njia ya kidijitali kupitia mtandao wowote wa simu, ukiwa unaamani kuwa Vikoba vyote vinahifadhiwa na kuratibiwa na Benki ya TCB. Kwa…

Tulisema ukae karibu na ukurasa huu maana mambo yanaendelea kunoga. 😊😊

Sasa umekuwa mtu wa maana kwa kua karibu nasi, maana kama wewe ni mteja wa Vodacom, basi kufungua Kikoba kwenye M-Koba ni rahisi sana.

account_circle
SAFIN(@SAFIN_Network) 's Twitter Profile Photo

REMINDER: Join our webinar to see how financial incentives help local banks support agripreneurs! 🌾 Featuring experts from Aceli Africa, Family Bank Limited, Tanzania Commercial Bank, Centenary Bank.
Co-hosted with Aceli Africa and Marketlinks.
👉 Register now: safinetwork.org/safin_events/n…

REMINDER: Join our webinar to see how financial incentives help local banks support agripreneurs! 🌾 Featuring experts from @AceliAfrica, @FamilyBankKenya, @tcbbank_, @CentenaryBank. 
Co-hosted with @AceliAfrica and @marketlinksorg.
👉 Register now: safinetwork.org/safin_events/n…
account_circle
Tanzania Commercial Bank(@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Wanasema
“UKIONA VYAELEA UJUE VIMEUNDWA”🤩🤩

Tunaendelea kuunda mambo mazuri yanayozidi kurahisisha maisha yako. Kama wewe ni mteja wa Halotel sasa unaweza kusajili kikoba chako kupitia simu.

account_circle