Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Salary account ndio msaada kwako uwe Mtanzania ama Mgeni unayefanya kazi Tanzania.

Ukikwama katikati unavuta Salary Advance Hadi 50% ya mshahara wako hakuna kuomba Wana tena Hela ooh nikilipwa nakurejeshea.
Unaweza kopa Hadi 200 m usikae kinyonge.

#SwahibaLanguLako
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Wivu umeanza mapema sana

Afisa habari mbunifu akimwelekeza bibie namna ya kulipia gharama mbalimbali kupitia Simbankinga ili bibie ajishindie Nissan Duals asipaukee

Wivu umeanza mapema sana

Afisa habari mbunifu akimwelekeza bibie namna ya kulipia gharama mbalimbali kupitia Simbankinga ili bibie ajishindie Nissan Duals asipaukee #BenkiNiSimbanking 
#SwahibaLanguLako
account_circle
KIPEPE 💊(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Msimbazi Hawakaagi Kinyonge 🔥

Je wewe unayo Account? Angalia jinsi ya kuomba yako kupitia SimBanking📱 Kama huna akaunti ya CRDB, Swahiba njoo tawini tutakusoti ufungue na upate kadi yako ya Simba💳.

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi wa kweli

Huwa na kadi ya uanachama
Unaipataje? - Jisajili uwe mwanachama halali wa Yanga matawi yote ya CRDB

Ongeza thamani ya klabu jisajili

account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Wewe mjasirimali/mfanya baishara!?

Tunakuletea Hodari Account Haina makato kikubwa inakuja na Lipa no kukuwezesha kupokea malipo kutoka kwa wateja wako.

Na rahisi kupata mikopo kukuza biashara yako.Tembelea tawi lolote la CRDB ufungue hii account.

Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Endesha biashara yako kijanja

Rahisisha malipo kwa wateja wako kupitia Lipa hapa ya CRDB kwa mitandao yote na benki zote kwa lipa namba moja tu

Swahiba Je unaitaka lipa namba ya CRDB?

Hujachelewa bado tembelea tawi lolote la CRDB Bank

Endesha biashara yako kijanja 

Rahisisha malipo kwa wateja wako kupitia Lipa hapa ya CRDB kwa mitandao yote na benki zote kwa lipa namba moja tu 

Swahiba Je unaitaka lipa namba ya CRDB?

Hujachelewa bado tembelea tawi lolote la CRDB Bank 

#SwahibaLanguLako
account_circle
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Leo nimekabidhiwa zawadi yangu ya ushindi na msanii Kontawa kaniambia CRDB Bank PLC wanaendeleza kutoa zawadi ya wataocheza jingle ya Swahiba Langu Lako ni rahisi shiriki post video yako tag CRDB bank weka

account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Nasemaje Nasemaje mashauzi yaendane na kipato

𝐓𝐞𝐦𝐛𝐨𝐂𝐚𝐫𝐝 ndo habari ya mjini inayomuwezesha kufanya matanuzi anavyotaka nje ya nchi🌎. Hii kadi ukiitaka unaweza kuiomba kwa *SimBanking*📱 au ibuka *tawini*. 🏦

account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Mama anasumbuliwa na kausha damu sikia mfungulie Malkia Account Toka CRDB Bank PLC.

Unafungua kwa 5000.
Unamuwekea akiba.
Mwisho wa mwezi anapata na gawio la faida.
Kama akiba zimefika 3 m anaweza kopa 90% ya fedha zake.

Tukimbie tawini

account_circle