Maarifa Hub(@HubMaarifa) 's Twitter Profile Photo

Entrepreneur? Employer? Employee?

You need these skills, especially now.

Watch this space for The LaunchPad and Maarifa Hub’s E-learning platform launching this May

We are determined to continue more so now as the workforce adapts to the changing trends.

Entrepreneur? Employer? Employee? 

You need these skills, especially now. 

Watch this space for @TheLaunchPadTZ and Maarifa Hub’s E-learning platform launching this May

We are determined to continue #SkillingTanzania more so now as the workforce adapts to the changing trends.
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

@ThelaunchpadTz opportunity to contribute to the National Curriculum Framework working with Dr Machange and Dr Komba of T.I.E and a panel of 4 other curriculum experts.Our big push was embedding 21st Century Skills across all phases

#SafariInaendelea
#SkillingTanzania
account_circle
Ɱᶻᴬˡiʷa®(@MzaliwaDiNegro) 's Twitter Profile Photo

Njia za The LaunchPad kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya karne ya 21 yanazingatia ushiriki kamilifu kwa kuhakikisha mafunzo ya vitendo yanawajenga kufanya kazi kama timu.

Njia za @TheLaunchPadTZ kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya karne ya 21 yanazingatia ushiriki kamilifu kwa kuhakikisha mafunzo ya vitendo yanawajenga kufanya kazi kama timu. #TanzaniaYaUjuzi #SkillingTanzania
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

'The LaunchPad inaandaa Makongamano mbalimbali kila mwaka ya kujumuisha wadau kutoka sekta mbalimbali pamoja na vijana kujadili changamoto na kutafuta suluhisho kuhusiana na Ujasiriamali na Ajira'

'@TheLaunchPadTZ inaandaa Makongamano mbalimbali kila mwaka ya kujumuisha wadau kutoka sekta mbalimbali pamoja na vijana kujadili changamoto na kutafuta suluhisho kuhusiana na Ujasiriamali na Ajira'
#SafariInaendelea
#TanzaniaYaUjuzi
#SkillingTanzania
account_circle
Dr. Meku 🇿🇼(@DrMeku) 's Twitter Profile Photo

Katika kuadhimisha wiki ya ujasiriamali ya kimataifa yaani @thelaunchpadtz imetayarisha kongamano na warsha kwa ajili ya uchumi wa kiutamaduni na fursa zilizopo kwenye kazi za asili na kiutamaduni na sanaa

Katika kuadhimisha wiki ya ujasiriamali ya kimataifa yaani #GEW2019 @thelaunchpadtz imetayarisha kongamano na warsha kwa ajili ya uchumi wa kiutamaduni na fursa zilizopo kwenye kazi za asili na kiutamaduni na sanaa #CulturalEconomy
#SkillingTanzania
account_circle
Digital Nomad(Dijito)(@mafolebaraka) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi hii saa tatu asubuhi tukutane Ennovate office tujifunze kuhusu freelancing na kumonetize skills
Link ya kujisajili bit.ly/gajuneworkshop

BINAFSI NITAKUWEPO , Karibu tujifunze pamoja

Jumamosi hii saa tatu asubuhi tukutane Ennovate office tujifunze kuhusu freelancing na kumonetize skills
Link ya kujisajili bit.ly/gajuneworkshop
#skillingTanzania
BINAFSI NITAKUWEPO , Karibu tujifunze pamoja
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Pushing for Women’s Economic Empowerment by training them in advanced digital skills in demand to be an integral part in the tech industry/space

We stay pushing!!

account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

'@TheLaunchPadTz Tunashirikiana na vijana na kutumia ‘Human Centred Design thinking approach’ ambayo inamshirikisha mlengwa katika kupendekeza njia za kutatua changamoto za ajira na ujuzi na maarifa.

'@TheLaunchPadTz Tunashirikiana na vijana na kutumia ‘Human Centred Design thinking approach’ ambayo inamshirikisha mlengwa katika kupendekeza njia za kutatua changamoto za ajira na ujuzi na maarifa.
#SafariInaendelea
#TanzaniaYaUjuzi
#SkillingTanzania
account_circle
Lameck Isaya(@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Katika kuadhimisha wiki ya ujasiriamali ya kimataifa yaani @thelaunchpadtz imetayarisha kongamano na warsha kwa ajili ya uchumi wa kiutamaduni na fursa zilizopo kwenye kazi za asili na kiutamaduni na sanaa

Katika kuadhimisha wiki ya ujasiriamali ya kimataifa yaani #GEW2019 @thelaunchpadtz imetayarisha kongamano na warsha kwa ajili ya uchumi wa kiutamaduni na fursa zilizopo kwenye kazi za asili na kiutamaduni na sanaa #CulturalEconomy
#SkillingTanzania
account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

'Life Skills ni kipaumbele kikubwa sana kwenye mitaala yetu The LaunchPad , huwa katika kila mafunzo ya ujuzi na maarifa ya ajira, ujasiriamali na uongozi lazima tutangulize maarifa ya maisha kwanza'

'Life Skills ni kipaumbele kikubwa sana kwenye mitaala yetu @TheLaunchPadTZ , huwa katika kila mafunzo ya ujuzi na maarifa ya ajira, ujasiriamali na uongozi lazima tutangulize maarifa ya maisha kwanza'
#SafariInaendelea
#SkillingTanzania
account_circle
LP Digital(@LPDigitalTZ) 's Twitter Profile Photo

Two groups, same exercise, different outputs.
Why? Because youths are separate individuals with different needs. Creating a solution with one group of youths in mind will result in a not-so-practical solution.

#DesignThinking 
#SkillingTanzania 
#Dijito 
#SautiZao
account_circle