Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Misandali yateketezwa Maralal:

Serikali yaonya dhidi ya biashara haramu ya misandali

Misandali ya shilingi milioni mbili iliyonaswa imeteketezwa

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tetesi za ushuru:

Wafanyabaishara katika sekta ya ufundi walalamika

Wanataka bunge kutupilia mbali ushuru wa betri

Wanasema kupanda kwa gharama kutaathiri biashara

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Iran aombolezwa:

Rais William Ruto atoa rambirambi zake

Rais wa Iran Ebrahim Raisi ameaga dunia

Ndege iliyokuwa imembeba ilianguka jana

Naibu Rais Mohammad Mokhber kushika usukani

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya uchumi:

Deni la kitaifa liliongezeka kwa takriban 19.3%

Ripoti ya KNBS inaonyesha deni lilifikia Ksh. 9.6T

Mzigo wa mishahara ya wafanyikazi wa umma ilifikia Ksh. 832.7B

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Maina Njenga kizimbani:

Mahakama inasikiza ushahidi dhidi ya Maina Njenga

Maina Njenga na wengine 11 wanakabiliwa na mashtaka 7

Inspekta wa polisi Samson Tanui anatoa ushahidi

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mustakabali wa taifa:

Wananchi wanalalamikia kukabwa na gharama ya maisha. Mswada wa fedha unapendekeza ushuru zaidi kwa wananchi. Viongozi wameibua mdahalo kuhusu ugavi wa mapato kwa kaunti. Baadhi ya maeneo yameanza mikakati ya kujipanga kisiasa Nimrod Taabu

Ukarabati wa barabara Machakos:

Usafiri katika barabara ya Machakos - Kangundo umetatizwa

KENHA imeanza kuondoa mawe yaliyoporomoka na kuziba barabara

Nimrod Taabu

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Athari za mvua Kericho:

Watoto wawili wa familia moja wamenusurika kifo

Hii ni baada ya chumba chao kuangukiwa na mti

Watoto hao walijeruhiwa na kupelekwa hospitalini

Nimrod Taabu

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mustakabali wa taifa:

Wananchi wanalalamikia kukabwa na gharama ya maisha. Mswada wa fedha unapendekeza ushuru zaidi kwa wananchi. Viongozi wameibua mdahalo kuhusu ugavi wa mapato kwa kaunti. Baadhi ya maeneo yameanza mikakati ya kujipanga kisiasa Nimrod Taabu

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Hali duni ya shule Tharaka:

Wazazi wa shule ya msingi ya Kamutuandu wanalalamika

Shule hiyo imesalia katika hali duni baada ya mafuriko

Wanafunzi wamesalia bila vyoo na madarasa

Nimrod Taabu

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Iran afariki:

Rais Ebrahim Raisi ameaga dunia

Ndege iliyokuwa imembeba ilianguka Kaskazini-Magharibi mwa Iran

Shughuli za kumuapisha Naibu Rais Mohammad Mokhber zinaendelea

Nimrod Taabu

account_circle