Urembo wa Dame ushaifanya ukashindwa kuongea ukafreeze 😂😂?
eric wambugu The Eagle Himself
#Mazigizaga #Radio47FunFriday #HapaNdipo #Chemba
It's a furahiday!!! Tune in to the number one late night radio show #Chemba ukiwa na chairman himself The Eagle Himself as we wrap up the week.
#Radio47FunFriday
Goodmorning ❤️ Karibu ndani ya Nuru 47 ukiwa na Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness. Unapokea Nuru ukiwa wapi?
#Radio47FunFriday #HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili
Sababu za mwanamke kutumia misemo kama kimeenda, kimelala kwa mume wake.
#Radio47FunFriday #HapaNdipo
The dopest evening show on planet earth is here!!! Ungana na wambeya ndani ya Maskani 47 wakupe za ndani.
Billy Miya Mbaruk Mwalimu Mr Iyan.
#Radio47FunFriday #HapaNdipo #BillyNaMbaruk
Ni wakati wa mziki bila pressure yaani Rhumba ukiletewa moja kwa moja na the queen herself Cate Kullo na Tha Don. Unategea ukiwa wapi?
#Radio47FunFriday #RhumbaFix #HapaNdipo
Ukienda kujivinjari, kama huwezi kudance promise watu kazi. Do something, don't waste that alcohol🤣🤣
#Radio47FunFriday #HapaNdipo
The OG amesema Betty Kyallo gives the best hugs😂😂. You can catch her live TV47 every Friday. eric wambugu The Eagle Himself
#Chemba #HapaNdipo #Mazigizaga #Radio47FunFriday
Tuko tayari kuwapeleka kwa weekend mood, are tuned in ndani ya Mchikicho? ukiwa na #MkamburiNaJaphe kuanzia 10am-1pm.
#Radio47FunFriday #HapaNdipo
Mziki ni kitu ambacho inanipa stress na the only way naweza kujiexpress ni niingie booth niimbe- K Daddy
#Baze47 #Radio47FunFriday #HapaNdipo
Ni kwanini wasanii kutoka Bongo wakifanya collabo na msanii kutoka Kenya hawapush mziki katika social media?
#Radio47FunFriday #Baze47 #HapaNdipo
Ubashiri wako ni upi katika Mchuano baina ya Arsenal na Manchester United siku ya Jumapili?
#GumzoLaSpoti #Radio47FunFriday
luckyherriano Billy Miya Mbaruk Mwalimu
Siku ya Jumapili kati ya Arsenali na Manchester City, nani atabeba ligi?
Ali Kauleni Hassan Billy Miya Mbaruk Mwalimu
#GumzoLaSpoti #Radio47FunFriday #HapaNdipo