Harry.(@HarryGodfirst) 's Twitter Profile Photo

Naamini Kampuni ya MTIBWA SUGAR itawalipa STAHIKI sahihi kwa FAMILIA za watu 11 waliopoteza MAISHA. Pasiwepo longolongo na Uhuni ktk malipo hayo. Ndugu wameshaumizwa na vifo,wasiumie tena kwenye kupata HAKI zao.

Poleni ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu. πŸ’”

account_circle
AUGUST MUCHKNOW(@AMuchknow) 's Twitter Profile Photo

' HOSPITALI ZIMEFUNGWA KABLA WAGONJWA HATUJAPONA ' ni maneno pekee tunaweza tukakulaumu 'CHASAMBI' yaani umeamua tukupe kura zetu za mchezaji bora chipukizi wa msimu huu kabla Ligi ijaisha? Ulifanya kwenye hospital ya mtibwa sugar Kwa miezi 6 ukaona haitoshi uje ufunge hospital

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MOROGORO: Hitilafu ya mitambo iliyotokea ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kinachohusika na Uzalishaji wa Sukari imetajwa kuwa chanzo cha Watu 11 kupoteza Maisha

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema β€œTukio limetokea Saa 7:30 Usiku kuamkia leo Mei 23, 2024,

Willy Sekwa Duke(@ChibuDuke) 's Twitter Profile Photo

..πŸ”₯ π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—šπ—”π— π—’π—‘π——π—œπŸ–οΈ

Timu zilizofungwa magoli mengi na Yanga katika ligi kuu msimu huu 23 | 24.

β—‰ 8 - Dodoma Jiji
β—‰ 8 - KMC.
β—‰ 7 - Simba SC.
β—‰ 7 - Mtibwa sugar.

Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

Hitilafu ya mitambo iliyotokea ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar imetajwa kuwa chanzo cha Watu 11 kupoteza Maisha, β€œTukio limetokea Saa 7:30 Usiku kuamkia leo Mei 23, 2024, kulitokea hitilafu katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme' - Kamanda wa Polisi Morogoro, SACP Alex Mkama

barton tz(@bartonsupremacy) 's Twitter Profile Photo

Mei 13, 2024, Young Africans SC, inayojulikana pia kama wananchi ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi KuuΒ  kwa mara ya 30 kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Mechi hiyo ilishuhudia mabao ya Musonda, Kibabage na Cement Mzize. Ushindi

UFM Radio(@ufmradiotz) 's Twitter Profile Photo

Miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika hospitali ya Mtibwa Sugar na majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni ya Bwagala.

Waliokufa ni wataalamu wa umeme na mitambo ambao walikuwa kwenye chumba cha kuendesha mitambo hiyo.

#UFMUpdates #mtibwasugar
account_circle
MASHUJAA FC(@MASHUJAA_FC) 's Twitter Profile Photo

WAMEKUJA WAKATI AMBAO HESABU NI KALI SANA 🦍πŸ’ͺ

Mashujaa Fc πŸ†š Mtibwa Sugar
πŸ†
πŸ•’ Saa 10:00, Jioni
πŸ—“οΈ 25.05.2024
🏟️ Lake Tanganyika

Nb: HESABU ZINAKUBALI.

#NextMatch
Mashujaa Fc πŸ†š Mtibwa Sugar
πŸ† #NBCPremierLeague
πŸ•’ Saa 10:00, Jioni
πŸ—“οΈ 25.05.2024
🏟️ Lake Tanganyika

Nb: HESABU ZINAKUBALI.
account_circle
Gift Macha(@gift_macha) 's Twitter Profile Photo

Juma Nyangi Ganambali.. Kiungo wa Mpira.. Amecheza mechi 26 msimu huu na kuhusika kwenye magoli manne.. Hata kama Mtibwa Sugar inashuka.. Anapaswa kubaki Ligi Kuu.. Anajituma sana

Ng'engeri(@ensungwe_) 's Twitter Profile Photo

Ajali ya Mtibwa Sugar imeondoka na Wahitimu wenzangu wawili na wawili pia ni majeruhi. Poleni sana familia, jamaa na marafiki kwa kuwapoteza wapendwa wenu.

account_circle
Rajamu(@DadaConso) 's Twitter Profile Photo

I hope hii issue ya Mtibwa Sugar haitamalizika kisisasa..

Watu walipwe Haki zao, ripoti ziziwe janja janja.. na tanesco asisingiziwe as usual.

I wish nione inspection reports.. I really do! Ila sasa pa kuzipata.. 🀧

account_circle
Madu Simon(@madu_simon) 's Twitter Profile Photo

... 🎬 π— π—œπ—¦π—¦π—œπ—’π—‘ π—–π—’π— π—£π—Ÿπ—˜π—§π—˜π——

β—‰ pamoja.

β—‰ #MoroKids pamoja.
β—‰ #MtibwaSugar pamoja.
β—‰ #YoungAfricansSC pamoja.
account_circle