Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FT: Gorilla FC πŸ‡·πŸ‡Ό 3-1 Al Merriekh πŸ‡ΈπŸ‡©

ℹ️ Wapinzani wa Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wamepigwa tena.

FT: Gorilla FC πŸ‡·πŸ‡Ό 3-1 Al Merriekh πŸ‡ΈπŸ‡©

ℹ️ Wapinzani wa Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wamepigwa tena.

#MechiYaKirafiki
account_circle
Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Kutoka Mo Simba Arena, Bunju.

Simba Sc 4️⃣ βž– 0️⃣ Pan African
⚽ Onana
⚽ Phiri
⚽ Kibu
⚽ Saido

Kutoka Mo Simba Arena, Bunju.

Simba Sc 4️⃣ βž– 0️⃣ Pan African
⚽ Onana
⚽ Phiri
⚽ Kibu
⚽ Saido

#MechiYaKirafiki
account_circle
Nkwama Yanga(@nkwama_tz) 's Twitter Profile Photo

🚨 π—”π—©π—œπ—– 𝗧𝗒π—ͺ𝗑

Kutoka Kambini Avic town mpira umeisha mechi ya kirafiki.

Yanga SC 6 Vs Friends Rangers 1

⚽MZIZE
⚽⚽NGUSHI
⚽Aziz KI
⚽ Hafiz KONKANI
⚽ Pacâme ZOUZOUA

🟒🟑

🚨#Update π—”π—©π—œπ—– 𝗧𝗒π—ͺ𝗑 

Kutoka Kambini Avic town mpira umeisha mechi ya kirafiki.

Yanga SC 6 Vs Friends Rangers 1

⚽MZIZE
⚽⚽NGUSHI
⚽Aziz KI
⚽ Hafiz KONKANI
⚽ Pacâme ZOUZOUA

#MechiYaKirafiki 🟒🟑
account_circle
3β€”5β€”2(@SwahiliSoka) 's Twitter Profile Photo

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„:

🏟️ Benjamin Mkapa

SIMBA SC 0-1 AL HILAL
⚽ Makabi Lilepo 6'

Al Hilal inakwenda mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Simba SC katika mchezo wa kirafiki unaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„: #MECHIYAKIRAFIKI

🏟️ Benjamin Mkapa

SIMBA SC 0-1 AL HILAL
⚽ Makabi Lilepo 6'

Al Hilal inakwenda mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Simba SC katika mchezo wa kirafiki unaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.
account_circle
Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Mlinzi wa kati wa Simba Sc Henock Inonga Baka ameanza katika kikosi cha kwanza cha timu ya Taifa ya DRC πŸ‡¨πŸ‡© kilichopo uwanja muda huu wakivaana na Angola.

Mlinzi wa kati wa Simba Sc Henock Inonga Baka ameanza katika kikosi cha kwanza cha timu ya Taifa ya DRC πŸ‡¨πŸ‡© kilichopo uwanja muda huu wakivaana na Angola.

#MechiYaKirafiki
account_circle