Cheza Foundation(@ChezaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana, Wanaume na watu wenye ulemavu

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana, Wanaume na watu wenye ulemavu #ChezaNasi 
#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Catherine Madebe(@cathbucci) 's Twitter Profile Photo

Haya wana X leo tujuzane kuhusu International Conference on Population and Development (ICPD) na Muswada wa Afrika Mashariki wa masuala ya Afya ya uzazi

Haya wana X leo tujuzane kuhusu International Conference on Population and Development (ICPD) na Muswada wa Afrika Mashariki wa masuala ya Afya ya uzazi #YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Zakia M. Mrisho(@MrishoZakia) 's Twitter Profile Photo

Wanawake na wasichana wanahitaji elimu ya kutosha juu ya ufahamu wa kutosha wa haki zao za afya ya uzazi ili kuwa na maamuzi sahihi na salama .

Wanawake na wasichana wanahitaji elimu ya kutosha juu ya ufahamu wa kutosha wa haki zao za afya ya uzazi ili kuwa na maamuzi sahihi  na salama .
#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Je wajua kuwa ili Muswada wa EAC SRH na ahadi za ICPD 25 kufanya kazi inahitajika Elimu kwa Wanawake na Wasichana, juu ya Haki zao za Afya ya Uzazi.
kuwa na maamuzi sahihi na salama .

Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana na Wanaume.

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana na Wanaume.

#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Programu za afya ya uzazi zinapaswa kuendelea kuwezeshwa kutokana na umasikini ndani ya jamii ili kuwezesha
▪︎ Ufikiwaji wa elimu
▪︎ Upatikanaji wa vifaa

#EACSRHBillTz #YPHTanzania
account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Bado jamii inahitaji elimu na ufahamu kwa wanawake na wasichana juu ya haki zao za kiafya hasa afya ya uzazi

Elimu hii inaweza kupatikana kupitia vyombo vya habari, kampeni kupitia makundi mbali mbali bila kusahau elimu kutoka mashuleni nk.

Bado jamii inahitaji elimu na ufahamu kwa wanawake na wasichana juu ya haki zao za kiafya hasa afya ya uzazi

Elimu hii inaweza kupatikana kupitia vyombo vya habari, kampeni kupitia makundi mbali mbali bila kusahau elimu kutoka mashuleni nk. 
#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Kama Nchi ili tufanikiwe kwenye kufanikisha malengo ya ICPD25 hatuna budi Kuwezesha Mashirika ya Kiraia na NGOs zinazoendesha program za Afya ya Uzazi na kupewa rasilimali za kutosha.

Kama Nchi ili tufanikiwe kwenye kufanikisha malengo ya ICPD25  hatuna budi Kuwezesha Mashirika ya Kiraia na NGOs zinazoendesha program za Afya ya Uzazi na kupewa rasilimali za kutosha.

#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Catherine Madebe(@cathbucci) 's Twitter Profile Photo

Kwanini Muswada wa Afya ya Uzazi ni muhimu? Muswada unatambua umuhimu wa huduma za afya ya uzazi kwa jinsi zote na unahakikisha usalama wa afya ya mama na mtoto

Kwanini Muswada wa Afya ya Uzazi ni muhimu? Muswada unatambua umuhimu wa huduma za afya ya uzazi kwa jinsi zote na unahakikisha usalama wa afya ya mama na mtoto #YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Kama umewahi kukutana na kitu kama hiki na wewe ambaye hujawahi kukutana nacho na unatamani kujua zaidi kuhusu suala hili, fuatilia zaidi hashtag hapa chini

Kama  umewahi kukutana na kitu kama hiki na wewe ambaye hujawahi kukutana nacho na unatamani kujua zaidi kuhusu suala hili, fuatilia zaidi hashtag hapa chini
#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Kuna umuhimu mkubwa wa kushirikiana na Mataifa mengine pamoja na Mashirika ya Kimataifa ili kuharakisha na kufanikisha ahadi za ICPD 25.

Tukiwa na nguvu ya pamoja itasaidia kupitishwa kwa EAC SRH Bill na kusaidia kuwepo kwa huduma bora za Afya kwa Vijana,Wanawake,Wasichana na Wanaume.

#EACSRHBillTz 
#YPHTanzania
account_circle
Zakia M. Mrisho(@MrishoZakia) 's Twitter Profile Photo

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana na Wanaume.

Nguvu ya pamoja ni muhimu sana katika kuhakikisha EAC SRH Bill inapitishwa kwa mustakabali wa Afya bora kwa Vijana, Wanawake, Wasichana na Wanaume.
#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Ushiriki wa Sekta binafsi, Asasi za kijamii na Mashirika ya kiraia ni muhimu sana katika utekelezaji wa Muswada wa EAC SRH na ahadi za ICPD 25.

Ushiriki wa Sekta binafsi, Asasi za kijamii na Mashirika ya kiraia ni muhimu sana katika utekelezaji wa Muswada wa EAC SRH na ahadi za ICPD 25.

#YPHTanzania #EACSRHBillTz #ICPD25Tz
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo