Wananchi kwenye safari yao kulipeleka kombe la #crdbbankfederationcup Nyumbani🏆
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Kama Maneno Mkuki👌🏽🤣
𝐊𝐎𝐌𝐁𝐄 letu la #CRDBBankFederationCup zuri🤩🙌🏽
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#CRDBBankFederationCup Wote wawili wanatoka Senegal...... na hapa walikutana na kupiga mastory dakika chache kabla ya fainali.
Ni Kocha Msaidizi wa Azam FC, Youssouph Dabo (kushoto) na Kocha Msaidizi wa Yanga, Moussa Ndaw.
Bila shaka walikuwa wakijadili jambo kuhusu Sadio
#CRDBBankFederationCup : Sikia namna mtangazaji wa soka Peter Otai alivyotangaza mikwaju ya penati za Azam FC dhidi ya Yanga SC, alivyosherehesha kwa ‘kimombo”
Ni mzee wa ‘byuti byuti’
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikisho LaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC
#crdbbankfederationcup 2023/24 @clementinho49 ndie mfungaji Bora wa #crdbfederationcup 2023/24
Full Time Yanga 0-0 Azamfc
Félicitations à Young Africans SC🇹🇿, Vainqueur de la CRDB Bank Federation Cup, la Coupe de #Tanzanie , 3 fois d'affilée. C'est la 7e de son histoire.
Ils ont battu leur dauphin en championnat, Azam FC🇹🇿 aux tirs au but. (0-0 TAB 5-6)
#crdbbankfederationcup #YoungAfricans #Yanga
Boli Kiushindani 👊
Mkurugenzi wetu Mkuu Abdulmajid Nsekela anazitakia timu zote mchezo mzuri wa fainali wa #crdbbank federationcup wenye ushindani wa hali ya juu🔥🔥
#bolikiushindani
#crdbbank
#tunakusikiliza
🗣️ “Tutafanya usajili mzuri, lengo ni kuitoa Yanga hapo ilipo na kufika mbali zaidi”
Rais wa Yanga SC, Hersi Said baada ya timu yake kutwaa taji la #CRDBBankFederationCup mbele ya Azam FC kwa mikwaju ya PENATI 5-6.
#CRDBBankFederationCup : Uzuri wa Zanzibar na simulizi ya Peter Otai mtangazaji wa soka kwa lugha ya Kiingereza muda mchache kabla ya kuanza mechi ya jana ya fainalia ya #CRDBBankFederationCup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Ni mzee wa ‘byuti byuti’
#CRDBBankFederationCup
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CRDBBankFederationCup
⚽️ Azam FC🆚Young Africans SC
📆 02.06.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 02:15 Usiku
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC crowned champions of the 2023/24 #CRDBBankFederationCup .
After a thrilling final, Yanga SC defeated Azam FC 6-5 in a penalty shootout, following a goalless draw (0-0) at full-time.
Congratulations to Yanga SC on their well-deserved win. 🔰
Y A M E T I M I A
@yangasc washindi 🏆wa kwanza wa #crdbbank federationcup 2024/24
Hongereni wananchi 🔰👏
#bolikiushindani
#crdbbank
#tunakusikiliza
Nos merecíamos todo esto que nos pasa y volver a alzar otra copa más, por tanto trabajo y para la alegría de los Wananchis🔰💪🏼🏆🏆.
🇦🇷 Cierro una temporada increíble, con mucha alegría y con la bandera de mi país en el cuerpo. 🇦🇷
#CRDBBankFederationCup
#CRDBBankFederationCup Final Washindi na kombe lao....
Ni Yanga SC kwa mara ya tatu mfululizo...
AET: Azam 0-0 Yanga (Pen: 5-6).
Fainali iko LIVE #AzamSports1HD
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikisho LaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
Mechi 6
Magoli 5
Assist 0
Hat-trick 1
#CRDBBankFederationCup : Clement Mzize ndiye Mfungaji Bora wa #CRDBBankFederationCup msimu wa 2023/24.
Mkataba wa Yanga SC na kocha Miguel Gamondi umemalizika jana usiku baada ya mchezo wa mwisho wa Fainali ya #CRDBBankFederationCup . Gamondi amesema anahitaji kupumzika lakini mazungumzo na Rais Hersi yatafanyaika kujua hatma yake.
Mechi tamu Yenye Hadhi ya Fainali
#CRDBBankFederationCup
28 Minutes
Azam FC 0-0 Yanga SC
#sokaplacetzupdates
WajanjaWanaBet na Betika Tanzania