'Empowering the youth in Tanzania! Join us for the Virtual Dialogue on SADC Principles of Democratic Elections in partnership with Democracy Works Foundation.
Pease register 👇🏾 forms.gle/ppF5UXVEzYRxnR…
#Action4DGTz
Elimu ya Uraia na Elimu ya Mpiga kura ni tiba sahihi katika kuongeza namba kwa vijana kushiriki mchakato mzima wa Uchaguzi. Vijana ni namba kubwa katika kushawishi maamuzi.
#CharterProjectAfrica
#KanuniZaSADC

Willard Freedom quotes from Zambia during Vitual dialogue on “Regional Dialogue on the SADC Principles & Guidelines for Democratic Elections, A Space for young people…”
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC | #CharterProjectAfrica
Wanawake ni idadi kubwa ya wapiga kura ila wamekosa uthubutu wakuamua kugombea ili kusimama wachaguliwe. ~ Hilder Gasper
#KanuniZaSADC
#CharterProjectAfrica
#Action4DGTz
Mijadala hii ya mtandaoni inalengo ya kuwajengea vijana uwezo kujua kanuni na miongozo ya Jumuiya ya SADC katika kusimamia nakuteleleza Agenda za ya Demokrasia.
Hii inaenda sambamba kuleta tija kwa ushiriki wa vijana kwenye shughuli za Kidemokrasia
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC
Jambo..!
Karibu tena katika #ChumbaChaDemokrasia . Leo hapa Chumbani Tunaye Joseph Brighton Malekela tukidurusu juu ya Ushiriki wa Vijana kuelekea Chaguzi za Serikali za Mitaa.
Kutazama, tafadhali bofya link👇🏾👇🏾👇🏾
youtu.be/qif3FblCwMA?si…
Karibu🤗
#Action4DGTz | #CharterProjectAfrica
'These regulations were established to build societies with democracy, free and fair elections, and peaceful elections. These regulations help promote democracy and the prosperity of member countries.' ~ Suleiman Makwita
#Action4DGTz | #CharterProjectAfrica
Kwanini Action for Democratic Governance (A4DG). wanajikita kwenye kutoa elimu ya Kanuni za SADC zinazosimamia Chaguzi za Demokrasia.
#Action4DGTz
#CharterProjectAfrica
#KanuniZaSADC
Kanuni za SADC zinalengo la kusaidia nchi wanachama kufanya chaguzi zinazozingatia haki, amani na weredi.
Lakini utekelezaji wake unachangamoto kadhaa. ~ Caliph Makwita
#CharterProjectAfrica
#KanuniZaSADC
#Action4DGTz
Kwanini Action for Democratic Governance (A4DG). wanajikita kwenye kutoa elimu ya Kanuni za SADC zinazosimamia Chaguzi za Demokrasia.
#Action4DGTz
#CharterProjectAfrica
#KanuniZaSADC
Mradi wetu unalenga kuwajengea uwezo vijana kujua ni wanawezaje kushiriki mchakato wa uchaguzi na sio kuchagua viongozi tu (kupiga kura). Na hii inaenda sambamba nakutoa uelewa kwa raia wote. ~ Caliph Makwita
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC
Baraza huru la vijana kukosekana nchini ni mkwamo katika utekelezaji wa Agenda nyingi zinazowahusu vijana. ~ 𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 𝐉𝐔𝐌𝐀 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔
#CharterProjectAfrica
#KanuniZaSADC
#Action4DGTz
Changamoto kubwa inayowakumba wasichana na wanawake ni mfumo dume, rasilimali na jukwaa watakalotumia ili wapigiwe kura. ~ Hilder Gasper
#KanuniZaSADC
#CharterProjectAfrica
#Action4DGTz
Kuna changamoto kazaa katika utekelezaji wa kanuni za SADC, moja yapo ya kanuni hizi ni kupishana na Sheria na katiba ya nchi katika utekelezaji wake. Mfano Kanuni za SADC zinaruhusu kufanya petition baada ya uchaguzi ila sheria ya nchi hairuhusu.
#Action4DGTz | # #KanuniZaSADC
Elimu ya mpiga kura inahitajika kuwa katika lugha inayooeleweka na kutegemea na mazingira, jamii zinatofautiana utashi wake hivyo elimu lazima izingatie mazingira husika ili isionekane hainatija. ~ Hilder Gasper
#KanuniZaSADC
#CharterProjectAfrica
#Action4DGTz
Hii ni moja ya sababu ambayo A4DG kwa Kushirikiana na Democracy Works Foundation (DWF) kupitia #CharterProjectAfrica tunajikita katika kutoa elimu juu ya Kanuni na Miongozo ya SADC ya Chaguzi za Kidemokrasia…!
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC
Kuna changamoto kazaa katika utekelezaji wa kanuni za SADC, moja yapo ya kanuni hizi ni kupishana na Sheria na katiba ya nchi katika utekelezaji wake. Mfano Kanuni za SADC zinaruhusu kufanya petition baada ya uchaguzi ila sheria ya nchi hairuhusu.
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC
'Empowering the youth in Tanzania! Join us for the Virtual Dialogue on SADC Principles of Democratic Elections in partnership with Democracy Works Foundation.
Pease register 👇🏾 forms.gle/ppF5UXVEzYRxnR…
#Action4DGTz
We’re now on…🔥
Our virtual dialogue on the SADC Principles & Guidelines for Democratic Elections, A Space for young people in Tanzania has started.
You can join us through👇🏾👇🏾👇🏾
meet.google.com/ter-ycbx-xnu?h…
#Action4DGTz | #KanuniZaSADC | #CharterProjectAfrica