Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profileg
Sonnino⚡

@sonnino123

Lawyer || Digital ||

ID:1188514214031347713

calendar_today27-10-2019 17:54:21

254,3K Tweets

123,3K Followers

1,1K Following

Follow People
Msichana Initiative(@MsichanaUwezo) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Msichana Initiative na Pastoral Women Council (PWC), wamezindua Kampeni ya Wasichana ya Pedi Bure,Pedi Bila Kodi.
Kampeni hii ina lengo la kuishawishi Serikali kupitia hadithi na sauti za wasichana kutoa kodi kwenye taulo za kike na

Shirika la Msichana Initiative na Pastoral Women Council (PWC), wamezindua Kampeni ya Wasichana ya Pedi Bure,Pedi Bila Kodi. Kampeni hii ina lengo la kuishawishi Serikali kupitia hadithi na sauti za wasichana kutoa kodi kwenye taulo za kike na
account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

6. Usalama na ulinzi wa taarifa za kimtandao kwa watumiaji.

“ACT tunapendekeza kuwa serikali ifanye tathmini na uchambuzi mara kwa mara wan a kutoa elimu kwa umma juu ya vihatarishi vya usalama katika mtandao na mifumo ya kompyuta kwa lengo la kubaini mapungufu yaliyopo dhidi ya

6. Usalama na ulinzi wa taarifa za kimtandao kwa watumiaji. “ACT tunapendekeza kuwa serikali ifanye tathmini na uchambuzi mara kwa mara wan a kutoa elimu kwa umma juu ya vihatarishi vya usalama katika mtandao na mifumo ya kompyuta kwa lengo la kubaini mapungufu yaliyopo dhidi ya
account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

4. Wizi wa simu, utapeli wa kimtandao na simu za kilaghai ndani nchi.

“ACT Wazalendo, tunaitaka Serikali wizara kushirikiana na wizara a taasisi nyengine kutambua biashara za mtandaoni kisheria ili kupunguza wimbi la utapeli. Pili, TCRA na Jeshi la Polisi kitengo cha

4. Wizi wa simu, utapeli wa kimtandao na simu za kilaghai ndani nchi. “ACT Wazalendo, tunaitaka Serikali wizara kushirikiana na wizara a taasisi nyengine kutambua biashara za mtandaoni kisheria ili kupunguza wimbi la utapeli. Pili, TCRA na Jeshi la Polisi kitengo cha
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

“Hivyo basi, kutokana na uchambuzi huu tumeonesha hoja saba kadhaa kuhusu mapungufu ya vipaumbe na mpango wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kama.

1. Kupanda kwa gharama za huduma za mtandao na wamasiliano

“Hivyo basi, kutokana na uchambuzi huu tumeonesha hoja saba kadhaa kuhusu mapungufu ya vipaumbe na mpango wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kama. 1. Kupanda kwa gharama za huduma za mtandao na wamasiliano
account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Civito Luxury
Dar to Bukoba

Mkurugenzi afanye Biashara yake tu akiamua kushindana na Happy Nation itamtoa kwenye reli,

Happy Nation wanatoa gari tatu kwa siku alafu kuna Frester 🙌

Ngoja tuone itakuwaje

Civito Luxury Dar to Bukoba Mkurugenzi afanye Biashara yake tu akiamua kushindana na Happy Nation itamtoa kwenye reli, Happy Nation wanatoa gari tatu kwa siku alafu kuna Frester 🙌 Ngoja tuone itakuwaje
account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Maning Nice
Dar to Mwanza

Mkurugenzi afanye Biashara yake tu akiamua kushindana na Ally's, Katarama, Sama, Happy Nation yatamtoa kwenye reli .

Maning Nice Dar to Mwanza Mkurugenzi afanye Biashara yake tu akiamua kushindana na Ally's, Katarama, Sama, Happy Nation yatamtoa kwenye reli .
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

“Uchambuzi wetu kuhusu bajeti hii unaonesha kuwa vipaumbele vya Serikali haviendi kutuhakikishia huduma za mawasiliano za uhakika, nafuu na salama. Pia, bado tunaendelea kuona uhuru wa habari na vyombo vya habari nchini bado haujaimarika.” Ndg. Rahuuuum Waziri Kivuli wa

account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

Leo Msemaji wa Ofisi ya Habari, Mawasiliano na Tehama Rahuuuum atazungumza na waandishi wa habari leo hii kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Waziri kwenye Wizara husika

Unaweza kufuatilia mahojiano hayo kupitia Jambo TV Link hii hapa youtube.com/live/A23OLn_ao…

Leo Msemaji wa Ofisi ya Habari, Mawasiliano na Tehama @RahmaMwita atazungumza na waandishi wa habari leo hii kuhusu Hotuba ya Bajeti ya Waziri kwenye Wizara husika Unaweza kufuatilia mahojiano hayo kupitia Jambo TV Link hii hapa youtube.com/live/A23OLn_ao…
account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

ameamua na hataki masiraha

Leo pia hautamkwepa, yaani hakwepeki 😂

Kwanza fainali zote tupo nazo.

Shuka na uzi👇🏿

#MfalmeWaBoma ameamua na hataki masiraha Leo pia hautamkwepa, yaani hakwepeki 😂 Kwanza fainali zote tupo nazo. Shuka na uzi👇🏿
account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

MARIA SARUNGI ANA 10% YA KILA SHILINGI ATAKAYOCHANGIWA LISSU.

Ni siku chache zilizopita tumesikia madai ya Tundu Lissu kuhusu kuomba kupewa gari la kifahari aina ya Nissan Y22.

Tundu Lissu aliwasilisha maombi haya kwa watu wa CCM, lakini kwa bahati nzuri, maombi hayo

MARIA SARUNGI ANA 10% YA KILA SHILINGI ATAKAYOCHANGIWA LISSU. Ni siku chache zilizopita tumesikia madai ya Tundu Lissu kuhusu kuomba kupewa gari la kifahari aina ya Nissan Y22. Tundu Lissu aliwasilisha maombi haya kwa watu wa CCM, lakini kwa bahati nzuri, maombi hayo
account_circle