Bwanashamba wa taifa 🇹🇿(@msakufarm) 's Twitter Profileg
Bwanashamba wa taifa 🇹🇿

@msakufarm

New Generation Farmer and Agronomist, feel free to inbox us if you have any questions on farming.
WhatsApp https://t.co/qRHCmu9TMx

ID:1387722119702884353

calendar_today29-04-2021 10:56:11

22,8K Tweets

8,8K Followers

1,5K Following

ELFU JEROOO…!!!®️(@jobles_bukujero) 's Twitter Profile Photo

Ila kusema “niko vibaya” ukiombwa hela na mwanamke ina sound u’serious kwenye maisha kuliko kusema “sina hela”…😂😂😂

account_circle
Kitunguu - saumu - farm 🧑‍🌾(@Nalimasaumu) 's Twitter Profile Photo

Nimefunga Processing Unit yangu

Sababu kubwa ni

- Bei kubwa ya Umeme

- Bei kubwa ya Raw materials

- Kukosa funds za Kupanua Uzalishaji

Imagine bei ya Kilo 1 ya Unga nauza 10k

Kilo 1 ya Kitunguu Saumu raw ni 15k

Sasa Mimi nitapataje faida ?😄

Ngoja nikajipange Upya

Nimefunga Processing Unit yangu Sababu kubwa ni - Bei kubwa ya Umeme - Bei kubwa ya Raw materials - Kukosa funds za Kupanua Uzalishaji Imagine bei ya Kilo 1 ya Unga nauza 10k Kilo 1 ya Kitunguu Saumu raw ni 15k Sasa Mimi nitapataje faida ?😄 Ngoja nikajipange Upya
account_circle
Beno Lyimo(@iAmLyimo) 's Twitter Profile Photo

Unakutana na tangazo la 3 yrs ago unapiga kuulizia bidhaa anasema alishaacha hiyo biashara… but why 😮‍💨💔

account_circle