The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profileg
The Diplomat 🇹🇿

@_TheDiplomat

Charming

ID:458187624

calendar_today08-01-2012 08:28:17

7,0K Tweets

5,3K Followers

2,2K Following

The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

🔴 MATANGAZO MUBASHARA KUTOKA IKULU MAWASILlANO ikulu_Tanzania

YOUTUBE: https: youtube.com/live/GcuVgumjX…

INSTANGRAM: instagram.com/ikulu_mawasili…

FACEBOOK: facebook.com/share/v/Vzomf2…

TWITTER: x.com/ikulumawaslian…

WEBSITE:
ikulu.go.tz

account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

📌 “Mimi binafsi, namshukuru Mungu kwa kuinasibisha historia ya maisha yangu na Muungano wetu. Pamoja na kuyaishi masuala ya Muungano kama raia wengine, nimebahatika pia kufanya kazi katika kuuimarisha Muungano;….” Samia Suluhu

📌 “Mimi binafsi, namshukuru Mungu kwa kuinasibisha historia ya maisha yangu na Muungano wetu. Pamoja na kuyaishi masuala ya Muungano kama raia wengine, nimebahatika pia kufanya kazi katika kuuimarisha Muungano;….” @SuluhuSamia
account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

📌 MUUNGANO UMETUWEZESHA KULINDA UHURUU

“Muungano umetuwezesha kulinda Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kwa umoja wetu, na kupitia jeshi letu, tumeweza kulinda mipaka ya taifa letu.”
Samia Suluhu

📌 MUUNGANO UMETUWEZESHA KULINDA UHURUU “Muungano umetuwezesha kulinda Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kwa umoja wetu, na kupitia jeshi letu, tumeweza kulinda mipaka ya taifa letu.” @SuluhuSamia
account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

📌 Falsafa ya 4R
Za Rais Samia Suluhu
• Reconcilation (Maridhiano)
• Resiliency (Ustahamilivu)
• Reforms (Mabadiliko)
• Rebuilding (Kujenga Upya)

📌 Falsafa ya 4R Za Rais @SuluhuSamia • Reconcilation (Maridhiano) • Resiliency (Ustahamilivu) • Reforms (Mabadiliko) • Rebuilding (Kujenga Upya)
account_circle
Rashda Zunde(@RashdaZunde) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akimtunuku Mama Janeth Magufuli nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli.


account_circle
Adui Wa Yanga(@Aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

NGUVU YA MAMA NI JESHI LA WANAWAKE

Wanawake maafisa usafirishaji almaarufu kama Bajaj wa maeneo ya Mnazi Mmoja Dar-es-Salaam wametoa salamu za pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakidai mwanamke mwenzao amewaheshimisha kiuchumi na sasa ni jeshi kubwa katika harakati

account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

📌 “udhibiti hafifu wa mifumo ya ukusanyaji, utunzaji na utumiaji wa taarifa binafsi katika taasisi mbalimbali zinazokusanya na kutumia taarifa binafsi.

Katika kukabiliana na yote haya,  ndio maana tupo hapa leo kuzindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi”. Rais Samia Suluhu

📌 “udhibiti hafifu wa mifumo ya ukusanyaji, utunzaji na utumiaji wa taarifa binafsi katika taasisi mbalimbali zinazokusanya na kutumia taarifa binafsi. Katika kukabiliana na yote haya,  ndio maana tupo hapa leo kuzindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi”. Rais @SuluhuSamia
account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

🔴 MATANGAZO MUBASHARA KUTOKA IKULU MAWASILIANO

YOUTUBE: youtube.com/live/3yM6DTt2M…

INSTANGRAM: instagram.com/ikulu_mawasili…

FACEBOOK: facebook.com/share/v/bWgd3U…

TWITTER: x.com/ikulumawaslian…

WEBSITE:
ikulu.go.tz

account_circle