ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profileg
ikulu_Tanzania

@ikulumawasliano

Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ID:996683519991664640

linkhttp://www.ikulu.go.tz calendar_today16-05-2018 09:27:23

9,2K Tweets

438,7K Followers

8 Following

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Taswira ya Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam mara baada ya uzinduzi tarehe 09 Mei, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Saturn Corporation Limited, Eneo la Viwanda, Kigamboni, Dar es salaam, tarehe 09 Mei 2024

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limitedkilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi pamoja na Wananchi wa Kigamboni na maeneo jirani mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi pamoja na Wananchi wa Kigamboni na maeneo jirani mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limitedkilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho Chirag Panna mara baada ya kukagua shughuli mbalimbali Kiwandani hapo Kigamboni, Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni, Dar es Salaam

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Profesa Kitila Mkumbo mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho Kigamboni Dar es Salaam.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa akizindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere(JNICC), Jijini Dar es Salaam.