Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profileg
Radio 47

@Radio47KE

Stesheni inayovuma kwa kasi zaidi.... Na Bado! ☎️ +254793047047 or WhatsApp 📱+254719739487

ID:1561617605626060802

linkhttps://radio47.fm calendar_today22-08-2022 07:34:02

64,4K Tweets

18,0K Followers

64 Following

Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Good Morning Fam📷 we're live ndani ya Breakfast 47 show ukiwa na The Bigboyz of Radio kuanzia 6am-10am. Are you tuned?


Wavuti: radio47.fm

Good Morning Fam📷 we're live ndani ya Breakfast 47 show ukiwa na The Bigboyz of Radio #MwashumbeNaMwakideu kuanzia 6am-10am. Are you tuned? #HapaNdipo Wavuti: radio47.fm
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

...TAMBUA MAJIRA YAKO! Luka 19:41-44...Ni kitu kizuri kujua majira yako yanasema nini. Kuna wakati Mungu anatutembelea lakini tunakosa hizo baraka sababu hatukujua kwamba wakati wetu ulikua umefika. Mungu atusaidie kutambua wakati Na majira yetu.. Tukutane Galilaya!

#Neno...TAMBUA MAJIRA YAKO! Luka 19:41-44...Ni kitu kizuri kujua majira yako yanasema nini. Kuna wakati Mungu anatutembelea lakini tunakosa hizo baraka sababu hatukujua kwamba wakati wetu ulikua umefika. Mungu atusaidie kutambua wakati Na majira yetu.. Tukutane Galilaya!
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Mambo Vipi? Karibu ndani ya the dopest Rhumba show ukiwa na the queen herself Cate Kulo makala ikiwa ni WCW. Who is your WCW today?

Mambo Vipi? Karibu ndani ya the dopest Rhumba show #RhumbFix ukiwa na the queen herself @CateKullo makala ikiwa ni WCW. Who is your WCW today? #HapaNdipo
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

One man one shilling vote is very dangerous because it contradicts na kinyume cha canon of equity ambayo inasawazisha kila mtu- Dickson Maungu, Mbunge Luanda.
lizah mutuku

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Shida ambayo tuko nayo hii nchi ni wrong priorities. Tuko na pesa mingi sana lakini jinsi ambavyo tunapanga matumizi ndiyo shida- Dickson Maungu, Mbunge Luanda.
lizah mutuku

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

In every 10 shillings that we collect as a country in form of tax, shilingi7 inaenda kwa deni na 3 kwa matumizi-Timothy Kipchumba, mbunge Marakwet West
lizah mutuku

account_circle
Solomon Murathiri(@SolomonMurathi1) 's Twitter Profile Photo

Radio 47 lizah mutuku Naitwa Murathiri Wa Chapati from Muliuntuine, Mutuati, Meru county tuko mbele pamoja mtu wangu 🙏🤞
Shout out to all fans 😘

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Leo hii ndani ya tunazungumza na wabunge Dickson Maungu (Mbunge Luanda), DKT.Kanyuithia Mutunga (Tigania West) na Timothy Kipchumba (Marakwet West) kuhusu hali halisi ya taifa.
lizah mutuku

Leo hii ndani ya #KikaoChaHoja tunazungumza na wabunge Dickson Maungu (Mbunge Luanda), DKT.Kanyuithia Mutunga (Tigania West) na Timothy Kipchumba (Marakwet West) kuhusu hali halisi ya taifa. #HapaNdipo @l_lizah
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Mashemeji Luo and Luhya Festival is here🔥🔥ndani ya Rixxos Lobby Kitengela tarehe 25 May siku ya Jumamosi. Usipitwe!!!!
MASHEMEJI DELUXE PARTY

account_circle