Msichana Initiative
@MsichanaUwezo
Kuwa sehemu ya mabadiliko kupitia kampeni yetu #PediBure #PediBilaKodi kupitia link hapo chini.
ID:4392254295
https://bit.ly/44M9lRW 06-12-2015 09:06:30
8,1K Tweets
13,6K Followers
132 Following
Follow People
Karibu usome ripoti yetu ya robo ya kwanza ya mwaka 2024. Kusoma ripoti hii bonyeza link hapo chini👇🏻 msichana.or.tz/download/quart…
#MIQuarter1Report
▪️ Fuatilia uzinduzi wa ripoti mbili za tafiti ambazo HakiElimu imezifanya ambazo zinaangalia ustawi wa Watoto wa Kitanzania. #UstawiWaWatoto
▪️Bofya bit.ly/4djQoKw
▪️Meeting ID: 814 2707 4220
▪️Passcode: 598768
Ni wito wetu kwa Serikali katika Bajeti ya Sekta ya elimu Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwa na Mpango maalum na Bajeti ajili ya Uchapaji na Usambazaji wa Vitabu vya Kiada mashuleni kwani shule nyingi haswa za umma hazijapata nakala ngumu (hard copies) za Mtaala Mpya. #ElimuKwanza