HakiElimu
@HakiElimu
A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.
ID:243172143
http://www.hakielimu.or.tz 26-01-2011 13:24:26
12,5K Tweets
156,7K Followers
616 Following
📅 Mark your calendars! The Coalition for Good Schools - Africa Hub Coalition for Good Schools invites you to a webinar on preventing school violence. Learn from diverse experiences and innovative interventions. Register now bit.ly/4aBhmKT
▪️ Neema Msangi kutoka Children Rights Women Fund Tanzania anajibu swali letu la mwezi huu. Kwa nini shule salama ni muhimu? #Nitamlinda
Nimeshirikiana na Msichana Initiative kuandaa Semina kati ya Jukwaa la Hedhi Salama na Wabunge kutoka Kamati za Bajeti na Afya; na Wabunge Vinara wa Wanawake ktk Siasa ambapo tumejadili #PediBilaKodi #PediBure kwa wanafunzi kwa kuzingatia Serikali ilishatoa Kodi lakini bei haikushuka.
📚✨ Children who receive quality early childhood education before age 5 are more likely to excel in reading & math by the end of primary school. Investing in early learning is crucial! 🌟 #EarlyEducation
learn more about Global Partnership for Education in Tanzania
shorturl.at/mS2I9
▪️ Keneth Nchimbi kutoka Mtandao wa Elimu nchini (TEN-MET) anatueleza madhara yanayoweza kuwapata wanafunzi endapo haitakuwa na Mpango Mahususi wa Shule Salama. #Nitamlinda
Lannyster Byalugaba kutoka Shirika la Children Dignity Forum (CDF) anatudokeza moja ya sifa ya shule bora. #Nitamlinda
Thrilled to share HakiElimu's work on youth engagement in democracy at the 2024 UN CSO Conference in Nairobi - Kenya! Presented by our Executive Director, Dr. John Kalage (left in photo). #HakiElimu #VijananaDemokrasia #TaifalaLeo