Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profileg
Dr. Hamisi Kigwangalla

@HKigwangalla

#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.

ID:52328502

linkhttp://www.hamisikigwangalla.org calendar_today30-06-2009 06:49:53

28,7K Tweets

1,2M Followers

663 Following

Follow People
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Nadhani kuna kitu kinapikwa somewhere. Kuna mtu ana jambo lake. Huyu wa leo amekuwa wa pili sasa. Tuendelee kufuatilia tu. Tutajua mwisho ni nini! ๐Ÿ˜€

account_circle
HABARIMPYA TV(@HabarimpyaTv) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Nzega Vijijini Mhe. Kigwangala (Dr. Hamisi Kigwangalla ) Ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa Kuwekeza Katika Miradi mbalimbali ya Maji na Kumtua Mama Ndoo Kichwani, huku akieleza hali ilivyokuwa hapo Awali kabla ya Mabadiliko Kufanyika

account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Napambana sana na teuzi mwanangu, sijakata tamaa ipo siku ntatoboa tena! Jasiri habadili nini, kukata tamaa ni mwiko. ๐Ÿค›๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Jenista Mhagama; Iโ€™ve got too much love and respect for this big siste. Nilipokuaga Mbunge kijana machachari huyu dada alikuwa Katibu wa Wabunge wote wa CCM, kwa Kipindi hicho kanuni zilikuwa zinampa mamlaka ya kuwa โ€˜mnadhimuโ€™ (chief whip) wa Wabunge wote wa CCM. Ilikuwa

Alexander Stubb(@alexstubb) 's Twitter Profile Photo

I gave a speech today on comprehensive security Hertie School in Berlin.

Comprehensive security is the most effective way to respond to a myriad of security threats. I explained how we have dealt with comprehensive security in Finland. Internal and external security, civil

I gave a speech today on comprehensive security @thehertieschool in Berlin. Comprehensive security is the most effective way to respond to a myriad of security threats. I explained how we have dealt with comprehensive security in Finland. Internal and external security, civil
account_circle