Faizah wanjiru
@wfayzah
Living life. My views are mine alone, my tweets are not about you... but if the shoe fits...Journalist, mother
ID:212651919
https://www.citizen.digital 06-11-2010 17:28:35
39,4K Tweets
138,0K Followers
1,9K Following
The Finance Bill 2024 has fired up a storm across sectors with business leaders saying the Bill is bad for the economy. So what is in contention? Join Yvonne Okwara as she engages the panel tonight on #CitizenExplainer at 9pm
Mashaka Ya Walimu Wa JSS:
TSC imeanza kuwachukua walimu hatua za kinidhamu
Hii ni kufuatia mgomo ambao umeendelea kwa mwezi mmoja
TSC inawataka walimu kuelezea kwanini wasifutwe kazi
Masomo katika shule za msingi sekondari yameathirika
#CitizenNipashe swaleh mdoe
Matawi Ya Muguka:
Marufuku ya Muguka imezua mdahalo mkali
Mututho: Muguka ina kemikali zinazodhuru
Kaunti za Mombasa na Kilifi zimeweka marufuku
Mututho asema Muguka ina madhara zaidi kwa afya
#CitizenNipashe swaleh mdoe
Majambazi Wa Kisii:
Polisi Kitutu Chache Kaskazini waanzisha msako wa majambazi
Genge la majambazi limeendeleza msururu wa uvamizi Rioma
Vijiji vinne vimeripoti ongezeko la visa vya uhalifu
Majambazi hao wameiba mifugo, mali na kuharibu mimea
#CitizenNipashe swaleh mdoe
Mgomo Wa Maafisa Kliniki:
Mgomo wa maafisa kliniki waingia siku ya 57
Wahudumu hao wa afya wanadai kupuuzwa na serikali
Wanataka mazingira bora ya kazi na ajira ya kudumu
Maafisa kliniki pia wanataka idadi yao kuongezwa hospitalini
#CitizenNipashe swaleh mdoe
Chairperson, Budget and Appropriations Committee, Hon. Ndindi Nyoro tables the Report on the Committee's consideration of Senate amendments to the Division of Revenue Bill, 2024.
Budget and Appropriations Committee in its Report rejects the Senate Amendments.
'Whereas we set a
No taxation without representation...
Bunge has abdicated and is an Agent of the KE Executive,
WANANCHI have NO REPRESENTATION.
Time to RESIST !!!
Kabando Wa Kabando Mohamed Wehliye, MBS
Prof Makau Mutua David Makali
#FinanceBill2024