millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, IsmailΒ Jussa Ladhu amesema kuwa wao kama Chama katika miaka yao 10 kama Chama chenye usajili wa kudumu, wameweza kujijenga kitaasisi na hivyo wako tayari kuchukua mamlaka ya Nchi Zanzibar na Tanzania bara kwa kumsimamisha Kiongozi wao…

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Wamaasai wa Zanzibar ni mabishoo kichizi, kwanza ukipishana nao hawanukii Ng'ombe ni Mapyufumu, mara kala cheni ya Gold, yupo na Earphone anakula Muziki. πŸ˜‚

Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA -Tundu Lisu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa…

Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Ally Hapi, kauliza maswali kadhaa Tundu Lissu kutokana na kile alichokisema kuwa

'Mama katoka Zanzibar, kwa nini anafanya maamuzi ya Huku Tanzania Bara?'

Miongoni ma maswali ni kuhusu vyama vingi..

Hemb msikilize mwenyewe..

Video kwa CommentsπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ