EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wananchi mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali kupitia wizara ya uchukuzi kuweka bei rafiki yab usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salam kwenda mkoa wa Dodoma iwe shilingi 15,000/=, ili kila mwananchi aweze kumudu na kunufaika na reli ya kisasa.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wenye tabia kuchanganya pombe na dawa wameshauriwa kuacha mara moja kwani kufanya hivyo kunaweza kusababisha umauti kwani kuna baadhi ya Dawa haziingiliaji na vilevi.

account_circle
Kaluso(@scooby_754) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Wananchi's work in advocating for human rights has earned them significant recognition.

FrancisAwinoForThePeople

account_circle
Joel Msuya(@JoelHamisMsuya) 's Twitter Profile Photo

Jumapili ya kesho kutwa tutakuwa na MBEBA MAONO a.k.a BULLET SURVIVOR Mhe. Tundu Antiphas Lissu kwenye mkutano mkubwa hadhara viwanja vya Mwembe - Yanga, jimbo la TEMEKE. Karibuni sana wananchi wote wa mkoa wa Dar es saalam na mikoa ya jirani.

Jumapili ya kesho kutwa tutakuwa na MBEBA MAONO a.k.a BULLET SURVIVOR Mhe. @TunduALissu kwenye mkutano mkubwa hadhara viwanja vya Mwembe - Yanga, jimbo la TEMEKE. Karibuni sana wananchi wote wa mkoa wa Dar es saalam na mikoa ya jirani.
#KaribuniTemekeKiumeni
account_circle
Kaluso(@scooby_754) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Wananchi’s work in promoting peace and unity is essential for community strengthening. FrancisAwinoForThePeople

Bunge la Wananchi’s work in promoting peace and unity is essential for community strengthening. #KinotiMtendaKazi FrancisAwinoForThePeople
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro zinatarajia kuanza Juni 14 na Dodoma zitaanza rasmi Julai 25, huku akiacha kitendawili kwa wananchi juu ya kiasi kitakachotumika kama nauli kuelekea kwenye mikoa hiyo.

account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Ilani ya CCM (2020-2025) 9B(i) ✅

𝐌𝐀𝐌𝐀 anajenga na kukuza uchumi shindani kupitia sekta za viwanda utakaowezesha ustawi wa wananchi wote.

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Wananchi walivyoingia Studio za Wasafi Fm kwa mbwembwe wakiwa na Afisa habari wa Yanga Fc Ali Kamwe kuelekea
𝐏𝐀𝐑𝐓𝐘 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀🔰🔥 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Jumamosi hii Mei 25, 2024.

account_circle
Kaluso(@scooby_754) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Wananchi’s efforts in advocating for human rights and community unity are widely recognized. FrancisAwinoForThePeople x.com/jjreigns7/stat…

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemtaka Meneja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (RUWASA) Wilaya ya Longido, Ramadhan Musiba kuwasiliana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji ili amuachishe kazi kwa kumdanganya mbele ya wananchi.

account_circle
Pitso Mosimane(@TheRealPitso) 's Twitter Profile Photo

When I was invited to be part of the Wananchi week, I managed to witness the famous celebration stunt! Believe me, the whole stadium stood up and imitated, that experience remained in my system until today. Hail Tanzanian Football!

When I was invited to be part of the Wananchi week, I managed to witness the famous celebration stunt! Believe me, the whole stadium stood up and imitated, that experience remained in my system until today. Hail Tanzanian Football!
account_circle
Kaluso(@scooby_754) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Wananchi’s efforts in promoting peace and unity among citizens have been celebrated. FrancisAwinoForThePeople

Bunge la Wananchi’s efforts in promoting peace and unity among citizens have been celebrated. #KinotiMtendaKazi FrancisAwinoForThePeople
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mtwara: Vichaka kwenye maeneo ya viwanja vya taasisi na watu binafsi vyakera wananchi, wadai vinatishia usalama.

account_circle
Ja Siaya™🇰🇪(@Dcijuja__) 's Twitter Profile Photo

Corrupt cartels pursuing self-interest are undermining Kenya Railways. Bunge la Wananchi will ensure justice through legal actions. FrancisAwinoForThePeople

Corrupt cartels pursuing self-interest are undermining Kenya Railways. Bunge la Wananchi will ensure justice through legal actions. #MaingaRailwaysChampion FrancisAwinoForThePeople
account_circle
MwanaHabari(@MwanaHabariNews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akiongea na wananchi wa Karatu wakati akiendelea na ziara yake ya siku Sita za Moto jijini Hapo.

account_circle
Aliyah(@MelaninAliyah1) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya karibu na wananchi umewezesha wakina Mama wajawazito kujifungulia kwenye vituo vya afya badala ya nyumbani.

huduma za afya ya Mama na Mtoto zinaboreshwa.

Ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya karibu na wananchi umewezesha wakina Mama wajawazito kujifungulia kwenye vituo vya afya badala ya nyumbani.

#MamaYukokazini huduma za afya ya Mama na Mtoto zinaboreshwa.
account_circle
Nikkwapili(@nikkwapili) 's Twitter Profile Photo

Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu, pili Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe, nawashukuru pia wote mlio nitumia salamu za pongezi asanteni sana. Zaburi 121:5

Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu, pili Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe, nawashukuru pia wote mlio nitumia salamu za pongezi asanteni sana. Zaburi 121:5
account_circle
𝕎𝕀ℤℤ𝕐™𓃵🇫🇷(@Goat_matata__) 's Twitter Profile Photo

Bunge la wananchi have played a role in raising awareness about corruption and advocating for transparency in the government's infrastructure projects

FrancisAwinoForThePeople

account_circle