Yese Humphrey(@YeseHumphrey3) 's Twitter Profile Photo

Habari ndugu zangu
Ndugu yetu mwengine huyu anahitaji kazi ya udereva kama kuna mtu anaconnection tumsaidie aweze kupata kazi atoke kwenye list ya majobless

[Name] Farjala Farhan Juma
[Mobile] +255 750 760 995

Repost
Like
Comment
Share

account_circle
Shomari Omary Shomari ♈(@shomari_omary) 's Twitter Profile Photo

Nimeokota hizi kadi ambazo ni NSSF, CRDB, LESENI YA UDEREVA, KADI YA MPIGA KURA, NMB
Vyote ni mali ya bwana DAVID EDWIN BUNDALA
Vimeokotwa Mwanza
Tuwasiliane 0622910751
ili muhusika aone au kama unamfaham mjulishe

Nimeokota hizi kadi ambazo ni NSSF, CRDB, LESENI YA UDEREVA, KADI YA MPIGA KURA, NMB
Vyote ni mali ya bwana DAVID EDWIN BUNDALA
Vimeokotwa Mwanza
Tuwasiliane 0622910751
#RETWEET ili muhusika aone au kama unamfaham mjulishe
account_circle
Andri𝕏(@andrewerasmii) 's Twitter Profile Photo

WAZEE WA KAZI BILA HAWA AKUNA BASI YA KICHINA INAWEZA KUDUMU NA ABOOD ZINAONEKA MPYA ana mafundi wake wapo kwaajili hiyo tu wewe nunua mchina alafu uwe na mafundi wa kuungaunga utaichukiaa biashara ya mabasi VIJANA MSIOMBE KAZI YA UDEREVA TU OMBENI ATA UFUNDI UNALIPA

NAJITAFUTA(@NAJITAFUTA) 's Twitter Profile Photo

X udereva , hakuna taa za barabarani ni gari ipi apo inatakiwa iwe ya kwanza kupita 🤔.
Nyeusi au nyeupe au nyekundu

X udereva , hakuna taa za barabarani ni gari ipi apo inatakiwa iwe ya kwanza kupita 🤔.
Nyeusi au nyeupe au nyekundu
account_circle
Pedeshee Charles🇹🇿(@PedesheeC80853) 's Twitter Profile Photo

Mimi 👇👇👇 baada ya kulipia buku mbili kwenye Uber

Na hii kazi ya udereva umefanya miaka mingapi ?? Na unaleseni au unaendesha TU unataka unique👇😂😂😂

Mimi 👇👇👇 baada ya kulipia buku mbili kwenye Uber  

Na hii kazi ya udereva umefanya miaka mingapi ?? Na unaleseni au unaendesha TU unataka unique👇😂😂😂
account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Kwa Tsh 1,000 tu unafungua account ya NMB Bank Plc njoo na kitambulisho
1. Uraia
2. Kazi
3. Leseni ya Udereva
4. Pasi ya kusafiria
Ni hapa Mbagala Zakhem

Kwa Tsh 1,000 tu unafungua account ya @NMBTanzania njoo na kitambulisho
1. Uraia
2. Kazi
3. Leseni ya Udereva
4. Pasi ya kusafiria
Ni hapa Mbagala Zakhem #NMBKaribuYako #NMBPesaDay
account_circle
jabir musa(@jabil_musa) 's Twitter Profile Photo

Kiwanda hiki kitakuwa chachu kubwa ya kuleta ajira nyingi kwa Watanzania.
1)Ajira ndani ya Kiwanda
2)Ajira katika makampuni ya usafirishaji
3)Ajira kwa wenye fani ya udereva.
SONGA NA SAMIA.

BecaTZA(@BecaTZA) 's Twitter Profile Photo

“Ukija bila gadi nagawa idadi kwa wastani”.. Muuza madafu maarufu anasema mzigo aliolipwa Ikulu kaongezea kanunua Boda, kwa sasa anapiga Udereva Boda na anauza pia madafu..KOMANDOO kamuona na anakiri ni kweli wamefanana..vipi mnaendelea kukaza kuwa ni yeyee au mlimfananisha? 😂

account_circle
kyenda(@ChrissKyenda) 's Twitter Profile Photo

Madereva hawana knowledge ya defensive driving.

Apo ni mmoja tu wa hiyo Hilux mwenye driving skill.

ktk udereva wa kujihami dereva anatakiwa.
-kuangalia (scan)
-kutambua (identify)
-kutabiri (predict)
-kuamua (decide)
-kutekeleza (execute)

Vitu muhimu sana kwa kuzuia ajari.

Julius 🇹🇿(@Julius_LSM) 's Twitter Profile Photo

Naitwa JULIUS umri miaka 27 nilihitimu elimu ya sekondari na kuhudhuria mafunzo ya udereva basic driving course & PSV katika chuo Cha VETA kwa sasa naendesha Toyo, naongea kiswahili kwa ufasaha na kiingereza kidogo naweza kufanya kazi mazingira yoyote natanguliza shukran🙏

Chris Mauki. PhD(@Chris_Mauki) 's Twitter Profile Photo

Hatuoi au kuolewa kwasababu umri unaruhusu ila akili inaruhusu. Ndoa sio kitambulisho cha NIDA au leseni ya udereva useme lazima umri uruhusu. Kama akili bado haijasonga endelea kuwatii wazazi ukiwa nao home

Hatuoi au kuolewa kwasababu umri unaruhusu ila akili inaruhusu. Ndoa sio kitambulisho cha NIDA au leseni ya udereva useme lazima umri uruhusu. Kama akili bado haijasonga endelea kuwatii wazazi ukiwa nao home #ChrisMauki
account_circle
Ladies Joint Forum.(@ladiesjoint) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mradi wa kuwa kwamua kiuchumi wanawake na wasichana kupitia udereva wa bajaji. “SHE DRIVES TO CHANGE”.
Wanufaika wamepata mafunzo ya usalama barabarani, “Leseni ni kitu muhimu dereva kuwa nacho,kinamlinda dereva na watu wengine”. Jihadi Kiyao. Polisi : Usalama barabarani

Tanzania Media Women(@TAMWA_) 's Twitter Profile Photo

Mshindi wa wiki ya pili wa tuzo za KathubutuKatimiza Marry Kalambwa, amepokea tuzo yake iliyomfikia akiwa katika shughuli zake za udereva wa bodaboda,mkoani Singida.

account_circle
Moker👁(@mokertz__) 's Twitter Profile Photo

Mafunzo ya udereva kwa vitendo mnamo 1940's
N:B Unaingizaa gia huku umewekewa jiwe kichwani ili usitazame chini

Mafunzo ya udereva kwa vitendo mnamo 1940's
N:B Unaingizaa gia huku umewekewa jiwe kichwani ili usitazame chini
account_circle
ALL ABOUT BUSES (AAB)🇹🇿(@LadiicOfficial) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐈𝐃𝐎𝐆𝐎
JINA: ABDULMALEEK
MAARUFU: FUNDI MACHEJO @Fundi_machejo 🐰
KAZI: UDEREVA & UFUNDI & MATANGAZO
SIFA: MCHESHI SANA
UMRI: KANAJUA KENYEWE NA MKE WAKE
MAPITO: LEINA/MAJINJAH/LUWINZO/JAPANESE& SAMA LUXURY
UJUMBE: TUSIKATE TAMAA KUFUKUZIA NDOTO

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐈𝐃𝐎𝐆𝐎
JINA: ABDULMALEEK 
MAARUFU: FUNDI MACHEJO @Fundi_machejo 
KAZI: UDEREVA & UFUNDI & MATANGAZO
SIFA: MCHESHI SANA 
UMRI: KANAJUA KENYEWE NA MKE WAKE
MAPITO: LEINA/MAJINJAH/LUWINZO/JAPANESE& SAMA LUXURY
UJUMBE: TUSIKATE TAMAA KUFUKUZIA NDOTO
account_circle
Nono(@Norin06219504) 's Twitter Profile Photo

𝐙ee 𝐘oung 😂 Karibu tukukopeshe Samsung A-series Kwa kianzio nafuu kabisa...kigezo n kitambulisho cha nida kura au leseni ya udereva ...tupigie 0718148171

@Cheka___tz Karibu tukukopeshe Samsung A-series Kwa kianzio nafuu kabisa...kigezo n kitambulisho cha nida kura au leseni ya udereva ...tupigie 0718148171
account_circle
Ladies Joint Forum.(@ladiesjoint) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mradi wa kuwa kwamua kiuchumi wanawake na wasichana kupitia udereva wa bajaji. “SHE DRIVES TO CHANGE”.
Wanufaika wamepata mafunzo na ya usawa wa kijinsia, “ Ukatili wa kijinsia unazuilika, ni muhimu kuripoti katika vyombo husika kwa wakati.

#MarieSchleiVerein