Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo

KATIBU TPF-Net AWAJENGEA UWEZO ASKARI WA KIKE MKOA WA PWANI.

Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwanadamizi wa Polisi (SACP) Pili Mande, Mei 15, 2024 ametoa elimu ya kuwajengea uwezo askari wa kike wa Mkoa wa PWANI ikiwa ni muendelezo wa ziara

account_circle
Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo

Polisi Kata wa kata mbalimbali waliofanya vizuri wakiwa katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 15 Mei, 2024.

Viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi wakiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 15 Mei, 2024.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Utumishi uliotukuka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Ramadhani Kingai katika Sherehe zilizofanyika leo Makao Makuu ya Polisi Dodoma.

#Nishani

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ally Gugu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Maduhu Kazi, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura na Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhani Nyamka, wakifuatilia uwasilishwaji wa hotuba ya

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Utumishi mrefu Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Agustino Gerald katika Sherehe zilizofanyika leo Makao Makuu ya Polisi Dodoma.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma terehe 14 Mei 2024.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 15 Mei, 2024.

#Bungeni

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ally Gugu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Maduhu Kazi, IGP Camillus Wambura na Kamishna Jenerali wa Magereza Mzee Ramadhani Nyamka, wakifuatilia shughuli za Bunge leo 15 Mei 2024 kabla ya kuwasilishwa kwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Utumishi uliotukuka Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Haji katika Sherehe zilizofanyika leo Makao Makuu ya Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwavalisha Nishani ya Utumishi mrefu na Tabia njema Wakaguzi wa Polisi Heaven Mtuku na Mboyoni Kivuyo pamoja na Sajini Meja Amos Mzulia katika Sherehe zilizofanyika leo Makao Makuu ya Polisi Dodoma.