millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Baada ya utafiti kuonesha kwamba Watanzania wengi wamekuwa na mwamko wa kununua pikipiki za HERO kutokana na kuonekana kuhimili mazingira ya Tanzania, Wauzaji rasmi wa pikipiki hizo hapa Tanzania wametangaza kupunguza bei ya pikipiki yake aina ya Hunter 150 cc.

Mkuu wa kitengo

account_circle
MASTA(@AyTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kama Bango Linavyosoma …Kwenye Youtube Channel yangu AY MASTA kuna Live Performance ya MADEMU WATAFUTAJI… youtu.be/xCa_BHLA828?si…

Kama Bango Linavyosoma …Kwenye Youtube Channel yangu AY MASTA kuna Live Performance ya MADEMU WATAFUTAJI… #FeelTheVibeYo youtu.be/xCa_BHLA828?si…
account_circle
Juliet Bawuah(@julietbawuah) 's Twitter Profile Photo

Trophy presentation for Tanzania Premier League Champions nicely done. National leagues are gateways of how a country's football is viewed, and TV Production, the look and feel of it must be prioritized. The anyhowness must stop.

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema anawashangaa wanaojitokeza kusema anawadhalilisha Watumishi baada ya yeye kuwakosoa Wala rushwa na Wazembe wakati Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan alidhalilishwa siku kadhaa zilizopita na Watu hao

account_circle
WorldSports14(@WorldSports14_) 's Twitter Profile Photo

Kiungo wa klabu ya Yanga Khalid Aucho amesema Watanzania wanatakiwa wawe na tabia ya kuwasifia wachezaji wa Tanzania wanaofanya vizuri kama ambavyo wanawasifia wachezaji wa kigeni.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Katika Kipindi cha Tatu cha , tunaangazia namna Rais Samia Suluhu Hassan alivyoleta afueni kwa maelfu ya watoto wa Tanzania kupitia taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete. Hii ni . Bofya hapa kutazama kipindi chote: youtu.be/301Er6lF4q4?si…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU),kimemjia juu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda juu ya matamshi aliyoyatoa dhidi ya Mtumishi wa umma wilayani Longido, kikidai kitendo hicho kinavunja heshima ya mfanyakazi,Kudhalilisha na kuvunja hali na morali ya

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU),kimemjia juu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda juu ya matamshi aliyoyatoa dhidi ya Mtumishi wa umma wilayani Longido, kikidai kitendo hicho kinavunja heshima ya mfanyakazi,Kudhalilisha na kuvunja hali na morali ya
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Volodymyr Zelenskyy amewasili Uhispania kwa mazungumzo na waziri mkuu wa nchi hiyo na familia ya kifalme.

Ukraine inatarajiwa kupokea msaada mkubwa kutoka Uhispania leo.

Wakati huo huo Putin wa Urusi ameendelea kuyakosoa mataifa yanayompa misaada Rais Zelenskyy!

account_circle