Reach Out Tanzania(@ReachOut_Tz) 's Twitter Profile Photo

'Kuzimwa kwa Mtandao ilikuwa ni jambo la kushtusha hatukutegemea ghafla ukitaka kuwasiliana hauwezi.Nakumbuka watu walitoa taadhari juu ya kuzimwa mtandao wakashauri tutumie VPN,kwa bahati mbaya hata hiyo Vpn tulikuwa hatuijui.' Hellen Kijo Bisimba

account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Kumbusho Dawson Kagine(@KumbushoDawson) 's Twitter Profile Photo

'Wakati wa Uchaguzi huwa tunawasiliana sana na wenzetu waliopo ground kujua nini kinaendelea, kuletewa picha za matukio na habari kwa njia ya mtandao. Kuzimwa kwa mtandao kuliathiri sana kupata taarifa sahihi ya nini kinaendelea .' Helen Kijo-Bisimba

account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa mtandao katika kipindi hiki cha digital huleta madhara makubwa katika sekta za elimu na kukwamisha upatikanaji wa baadhi ya vitu mtandaoni, Kuzuia kwa online Class pia katika kuandika research ,Project n.k

#KeepItOn #Uisizime
account_circle
Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

'Kuzimwa kwa Mtandao ilikuwa ni jambo la kushtusha hatukutegemea ghafla ukitaka kuwasiliana hauwezi.Nakumbuka watu walitoa taadhari juu ya kuzimwa mtandao wakashauri tutumie VPN,kwa bahati mbaya hata hiyo Vpn tulikuwa hatuijui.' Hellen Kijo Bisimba

account_circle
NTELE(@WisemanNtele) 's Twitter Profile Photo

'Kuzimwa kwa Mtandao ilikuwa ni jambo la kushtusha hatukutegemea ghafla ukitaka kuwasiliana hauwezi.Nakumbuka watu walitoa taadhari juu ya kuzimwa mtandao wakashauri tutumie VPN,kwa bahati mbaya hata hiyo Vpn tulikuwa hatuijui'Dr. Hellen

account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa mtandao kunazuia vyombo vya habari kuhabarisha umma ipasavyo.

Vyombo vya habari ni nyenzo muhimu kulinda afya ya jamii mfano mlipuko wa red Eyes,Covid19

Kuzimwa kwa mtandao ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya kikatiba na kuvunja sheria za kimataifa

#KeepItOn #Usizime
account_circle
Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

'Katika dunia ya leo ya utandawazi kunapotokea mtandao ukazimwa kunakuwa na athari kubwa sana kwa wanafunzi kufikia majukwaa ya kujifunzia mtandaoni, kuzuia mawasiliano kati ya wanafunzi na walimu, na kupunguza ufanisi na maendeleo ya wanafunzi katika masomo.

'Katika dunia ya leo ya utandawazi kunapotokea mtandao ukazimwa kunakuwa na athari kubwa sana kwa wanafunzi kufikia majukwaa ya kujifunzia mtandaoni, kuzuia mawasiliano kati ya wanafunzi na walimu, na kupunguza ufanisi na maendeleo ya wanafunzi katika masomo. #KeepItOn #Usizime
account_circle
Reach Out Tanzania(@ReachOut_Tz) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa kwa mtandao husababisha vyombo vya habari kushindwa Kutekeleza majukumu yake pamoja na kutoa taarifa muhimu kwa umma, hivyo jamii hukosa haki ya kupata na kupokea taarifa kupitia vyombo vya habari.

Kuzimwa kwa mtandao husababisha vyombo vya habari kushindwa Kutekeleza majukumu yake pamoja na kutoa taarifa muhimu kwa umma, hivyo jamii hukosa haki ya kupata na kupokea taarifa kupitia vyombo vya habari. #KeepItOn #Usizime

Kuzimwa kwa mtandao huathiri wanafunzi kufikia majukwaa ya kujifunzia mtandaoni, kuzuia mawasiliano kati ya wanafunzi na walimu, na kupunguza ufanisi na maendeleo ya wanafunzi katika masomo.

Kuzimwa kwa mtandao huathiri wanafunzi kufikia majukwaa ya kujifunzia mtandaoni, kuzuia mawasiliano kati ya wanafunzi na walimu, na kupunguza ufanisi na maendeleo ya wanafunzi katika masomo. #KeepItOn #Usizime
account_circle
Nathan Paul S.(@Fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

1:2 Ibara ya 18 ya JMT inasema 'Kila raia anayo haki ya uhuru wa mawazo na kujieleza na haki ya  kutafuta, kupokea na kusambaza taarifa

Ni haki inayompa kila Mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa

Kuzimwa kwa mtandao huleta athari kubwa katika shughuli za kiuchumi, kwani huzuia kufanyika kwa biashara mtandaoni hivyo kuleta hasara.

Huvuruga mawasiliano kati ya wafanyabiashara na wateja mfano kupata risiti za bidhaa n.k

Kuzimwa kwa mtandao huleta athari kubwa katika shughuli za kiuchumi, kwani huzuia kufanyika kwa biashara mtandaoni hivyo kuleta hasara.

 Huvuruga mawasiliano kati ya wafanyabiashara na wateja mfano kupata risiti za  bidhaa n.k

#KeepItOn #Usizime
account_circle
Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

Kuzimwa Kwa Mtandao Kuna athari nyingi. Mtandao unapozimwa husababisha haki za watu kuvunjwa ikiwemo haki ya kupokea na kutoa taarifa. Uzimwaji wa Mtandao nchini wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2020 kulikiuka Katiba ya Nchi Ibara ya 18.

Kuzimwa Kwa Mtandao Kuna athari nyingi. Mtandao unapozimwa husababisha haki za watu kuvunjwa ikiwemo haki ya kupokea na kutoa taarifa. Uzimwaji wa Mtandao nchini #Tanzania wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2020 kulikiuka Katiba ya Nchi Ibara ya 18. #KeepItOn #Usizime
account_circle
Ntele Bh(@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

Internet shutdowns severely impact media houses by restricting access to information, hindering news reporting, disrupting communication with audiences, and undermining freedom of expression.

Internet shutdowns severely impact media houses by restricting access to information, hindering news reporting, disrupting communication with audiences, and undermining freedom of expression. #KeepItOn #Usizime
account_circle
Kumbusho Dawson Kagine(@KumbushoDawson) 's Twitter Profile Photo

All people must be able to access the Internet in order to exercise and enjoy their rights to freedom of expression and opinion and other fundamental Human Rights.

States may not unreasonably restrict an individual's access to the Internet.

All people must be able to access the Internet in order to exercise and enjoy their rights to freedom of expression and opinion and other fundamental Human Rights. 

 States may not unreasonably restrict an individual's access to the Internet. #Usizime #KeepItOn