Kila goli 10M inamaana hakuna mfuko wa akiba kwaajili ya majanga kama hivi yakitokea twende sawa...acha inyeshw tuone panapovuja kwaiyo hapo ni ugali na mafuta, uji na mafuta jamaa kapoteza mifugo kama bata, kuku na nyumba ndo iyo inavunjika,
Mob justice huwa noma sana,unaezamua kusimama ujionee watu wakichoma mwizi alafu jamaa asimame akurukie akushike akuekee kisu kwa shingo aseme kama ni kukufa anakufa na mtu,unfortunately that mtu is you,he trys to negotiate with the class 2 drop out nduthi guys who happen to be…