Maelezo News(@maelezonews) 's Twitter Profileg
Maelezo News

@maelezonews

Ukurasa rasmi wa Serikali ya Tanzania kupitia Idara ya Habari -MAELEZO utakaokupatia habari za kila siku πŸ—“ /https://t.co/gRXoQiOE5E πŸ”—

ID:1103569071847530497

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today07-03-2019 08:12:24

6,5K Tweets

26,7K Followers

34 Following

Follow People
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran hapa nchini Mhe. Hossein Alvandi Bahineh mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Nchi hiyo uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam Mei 24, 2024

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran nchini Tanzania kufuatia Kifo cha Rais wa Nchi hiyo Hayati Ebrahim Raisi kilichotokana na ajali ya Helikopta nchini Iran.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, Kenya ili kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.21 wa IDA

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amempokea rasmi Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakati alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili 2024.

account_circle
Maelezo News(@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

Tamasha hili tunakusudia kuanza saa 11:00 jioni na kutakuwa na burudani hadi saa 3:00 usiku, ambapo washiriki wote watapata fursa ya kusikiliza hotuba ya kihistoria mubashara, atakayoitoa Rais Samia Suluhu kwa Watanzania kupitia televisheni.

Tamasha hili tunakusudia kuanza saa 11:00 jioni na kutakuwa na burudani hadi saa 3:00 usiku, ambapo washiriki wote watapata fursa ya kusikiliza hotuba ya kihistoria mubashara, atakayoitoa Rais @SuluhuSamia kwa Watanzania kupitia televisheni.
account_circle