Imagine tu uko na gari smooth kama hii,dem hakupi stress na una support team kubwa kama man city, imagine tu ๐ค Call or WhatsApp 0713 338177 for unit specs and price #flooding Runda Interior Secretary
Uyu kijana akienda city atakuwa moto wakuotea mbali walahi atafunga sana na atawatesa watu sana talent yake + uwezo wa kocha pep vitamuongezea ufanisi mkubwa sana
Sema kule kwa Fabrizio Romano kila taarifa ya mchezaji mchanga wanahusishwa Man City hii ni dalili kuwa Man City imekuwa klabu ya ndoto ya kila kijana๐
๐Kijana anarudi Wembley kikobonda ndani ya fainal ya UEFA 2023/2024 ๐Tan Hag nae atakwenda Wembley dhidi ya Man City ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ๐Tan Hag alituaminisha kua Antony ni Bora kuliko Sancho , Fred ni Bora kuliko Amrabat .