Aidan Eyakuze
@aeyakuze
Tutu Fellow (@TutuFellows) at @Twaweza_NiSisi | Co-Chair 2022 @opengovpart | @Data4SDGs, a data junkie & seeker of wisdom.☝️
ID:257912371
http://www.twaweza.org 26-02-2011 15:18:33
34,9K Tweets
35,1K Followers
1,6K Following
Follow People
Hakukuwa na tofauti katika ufuatiliaji kwa wazazi wote bila kujali hali yao ya kijamii na kiuchumi. Walimu walisema kwamba ushiriki wa wazazi kwa shule za sekondari ni mdogo ikilinganishwa na ushiriki kwa shule za awali na msingi. #ElimuUswazi
Shule nyingi ziliripoti zimewahi kutembelewa na Wathibiti ubora wa shule mara moja tu kwa mwaka (44.8%) au mara mbili kwa mwaka (29.9%). Takriban 14.9% ya shule, ziliripoti kuwa hazijawahi kutembelewa na Wathibiti ubora wa shule #ElimuUswazi
Wanafunzi wa elimu ya awali walipata msaada mkubwa toka kwa wazazi, lakini wa sekondari walipata msaada mdogo. Wazazi wengi hawakushiriki shughuli za shule wala mikutano ya walimu. #ElimuUswazi
Ni jambo la kupongezwa kwamba walimu wengi, wa jinsia zote, wana sifa za kutosha za kitaaluma, utafiti unaonesha bado juhudi kubwa zinahitajika kupata walimu wenye sifa kwa ajili ya elimu maalum #ElimuUswazi
Utafiti ulibaini kuwa shule 6 kati ya 10 zilikuwa zimeweka mazingira rafiki na huduma kwa wanafunzi wenye ulemavu. Shule ambazo ziliripoti kuwa hazina huduma kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum zilikuwa na vifaa duni vya kuhudumia watoto wenye mahitaji maalum #ElimuUswazi
The latest open budget survey is out. On the transparency front, Tanzania improved its score to 41 out of 100, a significant increase from previous scores of 10 in 2017, 17 in 2019, and 21 in 2021. #OpenGovWeek thechanzo.com/2024/05/30/tan…
'Wananchi wanaposhirikishwa katika kufanya maamuzi wanaweza kutoa suluhisho za changamoto zinazowakabili kwani wao ndio wanaozifahamu changamoto zao na vipaumbele kuliko mtu mwingine' - richard lucas
#DemokrasiaYetu
x.com/i/spaces/1kvJp…
I'd like to see the Maisha Namba Data Protection Impact Assessment that follows these OFFICE OF THE DATA PROTECTION COMMISSIONER guidelines...
Ditto NTSA KENYA's with biometrics for smart DLs...
Whose mandate is it to require the govt to publish its DPIAs?
odpc.go.ke/wp-content/upl…
To fix this, the Brazilian government committed to applying #opencontracting principles to infrastructure projects, focusing on improving the public procurement portal and disclosing information on all federal infrastructure projects.
Learn more at bit.ly/open-gov-chall…
In Brazil 🇧🇷, there is a lack of transparency in the public procurement of federal infrastructure projects due to data fragmentation across different agencies. 👇
#OpenGovChallenge
🇨🇷 In Costa Rica, the court system is dedicated to helping citizens understand their rights and access judicial services. Discover how they’re raising awareness through a pilot program that promotes #openjustice principles.
bit.ly/open-gov-chall…
#OpenGovChallenge
Amazing news! #CSOWeek2024 has secured a Title Sponsor: Vodacom Tanzania Foundation!
Thank you for supporting this amazing initiative!
City of Austin Voice2Rep Zimbabwe @Voice2Rep Integrity Icon #HackCorruption 5/ We have to leverage frameworks like Open Gov Partnership that can translate international commitments into national progress- w/ over 5,000 commitments over the past 12 years #OGP remains critical! #Inclusion is central- eg #Colombia engages citizens in ID'ing #gender priorities.